Apps 10 Maarufu Za Kutafuta Wachumba 2023


Tunatumia mtandao kila siku. Wengi wetu huchukua muda wao mwingi sana kuingia online na kuchat na marafiki, kupata habari, kudownload, kusoma udaku, kuangalia video nk.

Kando na kutumia simu yako kuangalia video na kusoma makala tofauti tofauti, unaweza pia kutumia simu yako kutafuta wachumba. Kazi hii imerahisishwa sana kwa sababu kuna mitandao/app ambazo ni spesheli za kukunganisha na wengine.

Apps 10 Maarufu Za Kutafuta Wachumba


Hii hapa ni baadhi ya mitandao bora zaidi ambayo ina umaarufu zaidi barani Afrika.

Mitandao ya kutafuta wachumba


1. Nipenzi
Huu ni mtandao ambao una umaarufu sana nchini Tanzania na hata Kenya. Kinachotofautisha mtandao huu na mingine ni kuwa usajili na utumizi wake ni bure. Pia unaweza ukapata features nyingine kali kali ndani ya app. Kando na kuwa unaweza kuchagua lugha ya Kiswahili, utapata nafasi ya kuchat na watu tofauti tofauti  [Download app ya Nipenzi hapa]

2. Zoosk
Huu ni mtandao ambao wenyewe wanaupigia upato kuwa mtandao wa kutafuta wachumba unaoongoza kwa umaarufu bara la Afrika. Mtandao huu unaruhusu watumiaji kuweza kujamiiana na wenza katika mitaa unayoishi. Uzuri wa mtandao huu ni kuwa unatumia mashine inayoitwa Behavioral Matchmaking™ wenye uwezo wa kutambua mchumba atakaye kufaa zaidi kwa kutumia profile yako. Mtandao huu una watumiji zaidi ya milioni 25 duniani. [Soma: Jinsi ya kumtongoza mwanamke kwa klabu ama baa]



3. Lovoo
Huu ni mtandao ambao unauwezo wa kutafuta wachumba wanaoishi karibu na wewe. Watumiaji wa mtandao huu ni milioni 12, Mtandao huu hutumia teknolojia ya rada kuwatafuta wachumba walio karibu nawe. [Soma: Jizuie usifanye mapenzi kwa kufuata hatua hizi]

4. Eskimi
Huu ni mtandao maarufu ambao una uwezo wa kuunganisha marafiki zako wa facebook ambao wako eskimi. Mtandao huu unakupa nafasi ya kuwaangalia na kutafuta wachumba kulingana na nchi, mikoa na miji tofauti tofauti.

5. SpeedDate
Huu ni mtandao unaokua kwa kasi zaidi. Ukiwa na watumiaji zaidi ya milioni 13, mtandao huu una uwezo wa kuwezesha kufanyika kwa deti kwa wakati uliopo na pia kuchat papo kwa hapo. [Soma: Njia rahisi kumuuliza mwanamke mtoke deti]

6. Bubble
Huu ni mtandao unaokuwezesha kutongoza, kujamiiana na kutangamana na wengine ambao wako single. Mtandao huu una uwezo wa kuwaorodhesha wanawake 100 wazuri zaidi hivyo kukupatia nafasi ya wewe kuchagua bila tatizo. [Download app ya Bubble hapa]

7. Tagged
Huu ni mtandao wenye watumiaji zaidi ya milioni 300. Mtandao huu unakupa nafasi ya kukutana na kipenzi chako kupitia kwa michezo ambayo inapatikana ndani yake. [Soma: Mambo ambayo wanawake hufanya ambayo huchukiza wanaume]

8. Instadate
Mtandao huu ni maarufu zaidi nchini Liberia. Mtandao huu unakupa nafasi ya papo kwa hapo kuweza kuchat na watumiaji ambao wako single. [Soma: Utajuaje kama mpenzi wako anataka kukuacha?]

9. AYI – Are You Interested?
Huu ni mtandao wa watu wakubwa. Mtandao huu umeunganishwa na facebook ambapo unaweza kuangalia picha, kuapload picha, kulike na kujua nani yuko interested.

10. SayHi!
Huu mtandao unadai kuwa na uwezo wa kuwaunganisha wachumba wapweke kupata mapenzi, kuweza kutongoza, kuchat na pia kupata marafiki wapya. Jambo la kipekee kwa mtandao huu ni kuwa mtumiaji anaweza kutafuta mchumba kwa kuangalia ramani na pia kutafuta deti kwa sehemu za karibu unazoishi. [Soma: Vitu vya kufanya na kuepuka ikija maswala ya kumtext mwanamke]


111 comments:

  1. natafuta marafiki wa kuchart nao kuanzi miaka kumi na nane na kuendelea pia wawe wanaishi dar es salam me jovianijustice namba yangu ni 0754210938

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naitwa Hemedi natafuta mchumba naishi chalinze pwani namba yangu ya simu ni 0743414000

      Delete
  2. Pamoja Sana Bloger Mkalimu In Love. Mademu Wanitafute 0673125960

    ReplyDelete
  3. Naitwa hassan nobingo nipo arusha home tanga Natafuta rafiki wa kike awe na miaka 17adi18 ambaye atakuja kuwa mpezi ambaye yupo tayar anitafute na 0692691703

    ReplyDelete
  4. naitwa afro nipo mwanza natafuta marafiki wa kuchati nao,sibagui dini wala jinsia,
    whatssap na sms zote zitajibiwa +255762589229

    ReplyDelete
  5. hy mudi hapa nipo dare essalam tanzania nahitaja kua na mchumba,kwanza awe mrembo mwenye mvuto wa kutosha awe mrefu kiaina mweupe mweusi poa, ila awe mjasiliamali mwenye kujituma kutafuta pesa, checking na 0652270090

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usijali umepata mbona nitakuchek

      Delete
    2. Naitwa Amina Nina miaka ishirini n mtoto 1 kaz yangu n tembeza machugwa natafuta mwanaume mzungu mwenyee pesa

      Delete
    3. Baba yako ana pesa

      Delete
    4. Mm ni mzungu Nina hela balaaa njoo sasa

      Delete
    5. naitwa desmondi natafuta mchumba wakubu namba225657483539

      Delete
  6. Naitww Antony natafuta marafki wa kike wq kuchat nao

    ReplyDelete
  7. Replies
    1. Rose🌹🦋May 26, 2023 at 9:53 PM

      Sasa jaman unatafuta rafiki ila unajiita nickname Kama childish😂😂🙄

      Delete
    2. Rose nipo hapa Kwa ajili yako wew tu

      Delete
  8. Natafuta rafik wa kike kuchart nae miaka

    ReplyDelete
  9. Naitwa toluene nko dar natafuta marafiki.0714642101

    ReplyDelete
  10. Natafuta marafiki wa kike wakuchati nao by sahill
    0675022539

    ReplyDelete
  11. natfta girl wa kudate nae 0653731354

    ReplyDelete
  12. Naitwa Ibrahim umri wangu ni 34 yrs mkristo nahitaji mwenza alietayari kuwa mke awe mcha mungu mwenye mapenzi ya dhati na wife material umri wake 25-30 asiwe na mtoto no 0652629463

    ReplyDelete
  13. Mtanashati apa wa moro town,natafuta mwanamke mwenye umri wa miaka 30_36 age yangu n 27,check me for WhatsApp number is +255672570425

    ReplyDelete
  14. Natafuta marafiki wakuchart nao nakubadilishana mawazo wanicheck kupitia 0744401672 by vero

    ReplyDelete
  15. Naitwa Kenny nipo ARUSHA natafuta dem anicheki 0719894270

    ReplyDelete
  16. Naitwa Mtaki natafuta mchumba nipo MWANZA no 0621009881 awe na umri kuanzia miaka 20 na kuendelea isizidi 30. Nipo single mda mrefu sana now nahitaji mwenza awe mwaminifu.

    ReplyDelete
  17. Naitwa hasan nipo dar natafuta msichana umri 18 awe Islamic 0622321770

    ReplyDelete
  18. Naitwa Issa niko USA-river arusha Natafuta mchumba Asiwe mlevi umri 22

    ReplyDelete
    Replies
    1. Rose 🌹🦋May 26, 2023 at 9:58 PM

      Okay asiwe mlevi😂😂😂

      Delete
  19. Naitwa jumanne Adam Niko Moshi natafuta mchumba see mwaminifu umri kuanzia miaka 23

    ReplyDelete
  20. Naitwa zummy nipo dar nahitahi marafiki wa kike na partner wa kike pia 0765069578 nicheki asap

    ReplyDelete
  21. Naitwa nipo arusha naitaj mwanamke mkwel kwang wakuishi nae alie tayar anichek 0785241178

    ReplyDelete
  22. Naitwa japhary npo iringa natafta marafiki wa like wa kuchat nao watsupp no 0767967994

    ReplyDelete
  23. Naitwa Jackson.
    Umri : 25
    Mkazi : Dar es Salaam.

    Nipo serious natafuta mpenzi atakaekuwa mchumba Kisha mke.

    Sifa. Umri : 18-24.
    Kikazi : Mchapakazi mwenye malengo chanya ya kimaisha, kikazi na biashara anitafute.
    Dini : Yeyote.
    Makazi : Popote Tanzania ila utapendeza kama atakuwa Dar.

    Aliye serious tu anitafute tuzungumze.
    Mawasiliano : 0687 218 267.
    Tuma SMS nitapiga au nipigie moja kwa moja.

    ReplyDelete
  24. natafuta mume awe anaishi marekani mika 30-35

    ReplyDelete
  25. Natafuta bwana mwenye pesa 0785725664

    ReplyDelete
  26. NAITWA SALIM NIPO ARUSHA .MWANAMKE ANAYEPENDA REAL LOVE KARIBU .UMR WANGU 24 .MAMI NJO UWE 18-35 KARBU 0785558106

    ReplyDelete
  27. Naitwa sam nipo mwanza natafuta marafiki wa kike wakubadiloshana mawazo nakupeana michongo yakihalali kwa alie tayari namba angu ni 0759217552

    ReplyDelete
  28. Naitwa Linah natokea mwanza namtafuta mchuma ambae yupo siliasi ili badae tufikie kutengeneza familia yetu sijali kipato chake Ila ningetamani awe mcha mungu sijali dini Wala kabila nachojali awe na upendo wa dhati atakaekuwa tayali anitumie meseji 0693817257
    Kupitia iyo namba

    ReplyDelete
  29. naitwa derick dedan naishi riverside natafuta mwanamke wa waanza nae maisha anitafute 0686866824

    ReplyDelete
  30. Natafuta girl ambaye yupo dodoma nahitaji awe mama watoto wangu

    ReplyDelete
  31. Assad, nipo Kahama , nafuta mke,0623295980

    ReplyDelete
  32. Naitwa Afro jinsia wa kiume, miaka 29 sitafuti mchumba wala mke bali natafuta marafiki wa kubadilishana nao mawazo sibagui dini kabila wala jinsia. whatsap +255762589229

    ReplyDelete
  33. Naitwa grace nipo mbeya miaka 19 natafata mpenzi

    ReplyDelete
  34. Hiyo namba sio yake tenah ...... Jmn... Shaolewa .... Huko nmesajili upya huku

    ReplyDelete
  35. naitwa baraka natafuta demu yeyote alie dodoma 0679371497

    ReplyDelete
  36. Naitwa mathew nipo mwanza natafuta mchumba umri miaka 20 hadi 28 kwa aliyeko mwanza tu kama yupo tuwasiliane kwa namba 0656374510 asanteni sana

    ReplyDelete
  37. Naitwa ndenggo natafuta mchumba namb 0786899115

    ReplyDelete
  38. Naitwa Joseph Nipo Mbeya Natafuta Mpenzi Awe Kuanzia Miaka 18 Mpaka 50 Njoo Tuchati chi namba 0785440440

    ReplyDelete
  39. MY NAME'S INNOCENT
    AGE 40
    BE WITH VIH +
    ONE CHILD
    NO WIFE
    CHRISTIAN
    I NEED A WOMAN WHO CAN ACCEPT TO BE MY WIFE
    MUST HAVE VIH+ ALSO
    LIKE TO PRAY
    LOVE GOD
    Like work
    Love baby
    I live in the enough life
    Kawaida life
    Contact me
    bressinginnocent@gmail.com

    ReplyDelete
    Replies
    1. Call me Innocent my number is 0655966981
      Iam lightness.

      Delete
    2. Pls Inno namba ndiyo hiyo nipigie tuyajenge naona wewe ni wangu kabsaa
      0655966981.
      Naitwa lightness.

      Delete
  40. Nafuta rafiki wakubadilishana nae kimawazo namba 0744683992

    ReplyDelete
  41. Naitwa Linahh Songoro nipo kenya natafuta mume yuko serious naakuwe kujenga

    ReplyDelete
  42. +254 104183635 number

    ReplyDelete
  43. Naitwa philipo natafuta rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo kama tutaendana Niko tayari tuyajenge natokea Moshi whtsp namba 0657525050

    ReplyDelete
  44. Naitwa Yona natafta mpenzi wa jinsia ya kike, namba ya simu +255695486624" Napatikana Dar

    ReplyDelete
  45. Naitwa lightness miaka ni 39 ni muajiriwa na nipo HIV+
    Natafuta mume tuoane naye awe HIV+,awe ameajiriwa au kajiajiri umri kuanzia miaka 40 mpaka 50.
    Aliye serious anipigie kwa namba
    0655966981.

    ReplyDelete
  46. Hellow, ni mwanamke Lightness hapa, ninaishi Daressalaam,nina umri wa miaka 39, Ni muajiriwa, Nipo HIV+.
    Natafuta mwanaume wa kuoana naye awe na hali kama yangu HIV+ umri kati ya miaka 40 Hadi 50,awe ameajiriwa au kajiajiri,
    Aliye teyari na serious anipigie tuyajenge kwa namba 0655966981.

    ReplyDelete
  47. Kenny naish Moro natafuta girl niishi naye 0713730480

    ReplyDelete
  48. I am looking a girl for new relationship then marriage, from Tanzania or out of Tanzania, Email me: deogratius2004@gmail.com/ Tafuta Mischana kwaajili ya kuanzisha uhusiano baadae kuoana tuwasiliane kwa Email: deogratius2004@gmail.com

    ReplyDelete
  49. Habar ninaitwa herry nipo Tanga umri wangu 38 ninaitafuta mwanamke wa kuishi pamoja asitumie kilevi chochote na awe teyar kwa kuishi pamoja awe na umri kuanzia miaka 32 namba yangu ni +255 624 896 941 kwa mawasiliano Zaid

    ReplyDelete
  50. Hi, am Hassan 27yrs nimejiri nahitaji msichana wa kuoa am serious......
    0768602300
    Dar city
    Love🤗🤗🤗

    ReplyDelete
  51. Nataka marafiki wakike wakuchat nao naishi dar
    Namba 0672780428
    Wtsp,piga au sms 24hours

    ReplyDelete
  52. Naitwa fred nipo Songea umri 40 natafuta mchumba wa kike umri 18 hadi 40 awe na rangi ya asili awe mnene wastani kwa mawasiliano 0626005259

    ReplyDelete
  53. Helo!! Naitwa Samson nipo morogoro, seriously natafuta rafiki wa kike endapo tutaridhiana Basi tutafikia hatua nzuri kujenga familia, kikubwa tu! Uwe na miaka kati ya 20 hadi 28 mengi zaidi nitafute kwa namba 0674520867.

    ReplyDelete
  54. 🤭🤭

    ReplyDelete
  55. Kwa anaehitaji sexchat mwanamke anicheki
    0672780428 wtsp kawaida

    ReplyDelete
  56. Naitwa Duncan npo mwanza natafuta mchumba wa kike mvumilivu, msiri,mwenye upendo wa dhati na awe na hofu ya mungu no check kwa no 0768596401

    ReplyDelete
  57. Naitwa Brian naish Moro kikaz, muajiriwa serikalini, natafuta mwanamke ambae yupo tayar kuolewa Ata akiwa na mtoto mie nitampokea, kabila lolote, kazi yoyote mkoa wowote kikubwa awe tayar kua mke kwa aliye tayar anichek 0747600933

    ReplyDelete
  58. Naitwa Adam, umri miaka 46,Nina hearing loss (sisikii vizuri) naishi Dar, Tanzania
    Natafuta mpenzi/Mwenzi mcha Mungu na mwenye upendo wa dhati,
    Nitext +255 0764382423

    ReplyDelete
  59. Naitwa Daniel natafuta mchumba wa kuoa nipo mbeya aliye tayari kuanzia miaka 24 hadi 30

    ReplyDelete
  60. Naitwa G nipo dsm natafuta mwanamke sahihi tuanzie mahusiano+uchumba had ndoa 0679662702 whatsap/call kawaida /sms tuma

    ReplyDelete
  61. Naitwa Daniel npo mbeya nahitaji mwanamke wa kuoa umri miak 23 hadi28 awe anapatikana mbeya au iringa namba zangu ni 0693457103

    ReplyDelete
  62. Natafuta mume ni mama wa watoto wawili umri wangu miaka 26 naishi Shinyanga nataka mwanaume m2 mzma mwenye hofu ya Mungu 0746120879

    ReplyDelete
  63. Naitwa castor. Umri 30. Natafuta mpnz 0762492266

    ReplyDelete
  64. BIG HAPA NATAFUTA DEMU ..NICHEKI..NIPO MBEZI TANGI BOVU..0767500021

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naitwa desmondi natafuta mke dini yoyote

      Delete
  65. Hello naitwa Robert Niko Arusha Nina miaka 30 natafuta mke 18_24 tuanze maisha namba yangu 0712474940

    ReplyDelete

Jiunge na jamii yetu ya Facebook/App yetu ili uweze kutangamana na members na readers wetu wa Nesi Mapenzi ama ujitafutie mpenzi HAPA

Powered by Blogger.
##valentine ##valentine