Sera ya Faragha

Privacy

Thank you for visiting NESIMAPENZI.com, your number one source for dating and seduction techniques!
NESIMAPENZI.com is governed by terms and conditions to protect your privacy. Continuing to use the site signifies your agreement to these terms and conditions. Please leave the site immediately if you do not agree with any of the terms and conditions detailed here.
  • Our site uses small text files, called cookies, that are placed on your computers. Cookies are used to determine user behavior for future improvements in the site. Should you wish to turn cookies off, please do so through your browser’s configuration settings.
  • NESIMAPENZI.com logs Internet Protocol (IP) addresses, which may identify you personally. If you do not wish to be traced using your IP, please leave the site at once.
  • If you choose to provide your email address to the site, you are consenting to receive emails from us. You may unsubscribe from our mailing list at any time.
  • We do not sell nor share the information we gather to external parties.
  • Communication, chats and interaction which are as a result of Nesi Mapenzi social networking cannot be controlled by us, hence users will be liable for any misfortune that may result from using them.

Tunakushukuru kwa kutembelea NESIMAPENZI.com, tovuti nambari moja kwa kuongoza kukufundisha sanaa za mapenzi.

NESIMAPENZI.com inaelekezwa na sheria na masharti ili kutunza faragha yako. Kuendelea kutumia tovuti yetu inaashiria pakubwa kuelezea ya kuwa unakubaliana na sheria na masharti yetu. Tafadhali ondoka kwa tovuti yetu mara moja iwapo haukubaliani na moja wapo ya sheria na masharti yetu tuliyoyaorodhesha hapo chini.

  • Tovuti yetu hutumia nakala ndogo za faili, zinazojulikana kama kuki, ambazo zinawekwa katika tarakilishi yako. Kuki hutumiwa kuangalia tabia za mtumiaji ili mbeleni ziweze kuboresha tovuti. Iwapo unataka kuzima kuki, tafadhali fanya hivyo kupitia mpangilio wa kivinjari chako.
  • NESIMAPENZI.com huingiza anwani za mtandao itifaki Internet Protocol (IP), ambazo zinaweza kukutambua wewe binafsi. Kama hautaki kutambuliwa kwa kutumia IP yako, tafadhali ondoka katika tovuti hii haraka iwezekanavyo.
  • Kama umechagua kupeana barua pepe yako kwa hii tovuti, utakuwa umetupa ruhusa ya kukutumia machapisho na makala yetu kupitia barua pepe. Unaweza kujiondoa katika sajili zetu za barua pepe wakati wowote ule.
  • Hatupeani wala kuuza habari tunazozikusanya kwa washirika wa nje.
  • Mazungumzo, chat, na utangamanaji unaofanikishwa na mitandao ya jamii yenu ya Nesi Mapenzi hatuna uthibiti kwayo, hivyo hatuna jukumu lolote kwa chochote kitakachotokea kwa kujihusisha na jamii hizo.
Kwa maswali yeyote, wasiliana nasi kupitia:

Ibrahim Morowa
P.O Box 40215 Mombasa, GPO 80100
+254-707-917370
ibrahimmorowa@gmail.com

No comments:

Jiunge na jamii yetu ya Facebook/App yetu ili uweze kutangamana na members na readers wetu wa Nesi Mapenzi ama ujitafutie mpenzi HAPA

Powered by Blogger.