Sheria na Masharti ya Group La Nesi Mapenzi Facebook

Download app yetu ya Nesi Mapenzi uweze kusoma machapisho yetu mapya pamoja na kuweza kupata machapisho ya ziada moja kwa moja kutoka kwa simu yako. Download app kutoka Playstore hapa

Kabla uunganishwe na kundi letu la Facebook lazima ufuate sheria na masharti ambayo yameambatanishwa na kundi hilo.

Group limetengenezwa spesheli kuhusiana na mapenzi, mahusiano, ushauri na changamoto ambazo mtu anapitia kuhusu mapenzi. Kama huwezi kuzingatia sheria na masharti haya tafadhali usijaribu kujiunga na hili group.

1. Usiweke mada zozote ambazo hazihusiani na mapenzi.
2. Usiweke namba zozote za simu kwa group bila idhini ya administrator.
3. Picha za ngono, za mitego, ama zinazochafua mazingira haziruhusiwi.
4. Usiweke link zozote bila idhini ya administrator.
5. Group ni la siri, hivyo usijaribu kutag mtu yeyote ambaye si member wa kundi hili kwa picha ama kwa status yako kwa group.
6. Matangazo yeyote ya kibiashara bila idhini ya administrator hayakubaliwi.
7. Matumizi ya lugha chafu, kutusi ama kumbeza mwanachama yeyote hairuhusiwi.


Kwa kulinda faragha yako, group hili linahakikisha kulinda faragha yako vile inavyotakikana katika mtandao. Hivyo kama unaona hailingani na wewe basi tafadhali usijaribu kujiunga na group hili
.

1. Tunaweza kumtumia jumbe au kuwasiliana na yeyote kwa hili group bila idhini zao.
2. Tunaweza kufuta status zozote, za yeyote, wakati wowote katika group hili bila kumuarifu mhusika na mapema.
3. Hatuuzi wala kupeana habari zozote kwa mtu yeyote ambazo zinawasilishwa kikundini.
4. Tunaweza kumblock member yeyote, wakati wowote kutoka group hili bila kutoa taarifa na mapema kwa mhusika.
5. Sheria na masharti ya mtandao wa Nesi Mapenzi yanafuatwa hadi katika hili group.
6. Tunaweza kujeuza ama kuongeza sheria na masharti haya pamoja na faragha wakati wowote bila kukuarifu.


Kama umekubaliana na masharti na unataka kujiunga na members wengine ingia HAPA

Powered by Blogger.