Mitandao 10 Maarufu Ya Kijamii Ya Kutafuta Wachumba 2022


Tunatumia mtandao kila siku. Wengi wetu huchukua muda wao mwingi sana kuingia online na kuchat na marafiki, kupata habari, kudownload, kusoma udaku, kuangalia video nk.

Well, wengine huingia online kutafuta mitandao ambayo ni spesheli ya kutangamana na kutafuta wachumba. Uzuri wa kutafuta wachumba kupitia mitandao ya kijamii ni kuwa una nafasi kubwa zaidi kuchagua mchumba ambaye anatabia ambayo unazipenda.


Hii hapa ni baadhi ya mitandao bora zaidi ambayo ina umaarufu zaidi barani Afrika.

Mitandao ya kutafuta wachumba


1. Bubble
Huu mi mtandao wa kwanza wa East Afrika unaoaminika wa kutongoza. Mtandao huu ni rahisi kuutumia. Kile kinachohitajika hapa ni kuchagua picha ya mtu kwa kuilike ama kuikataa. Iwapo wewe na huyo mwingine mumependezwa na picha zenu mtaorodheshwa kama wachumba wa kufaana. Pia inaorodhesha watu ambao wanaishi karibu na wewe. [Download app ya Bubble hapa]

2. Zoosk
Huu ni mtandao ambao wenyewe wanaupigia upato kuwa mtandao wa kutafuta wachumba unaoongoza kwa umaarufu bara la Afrika. Mtandao huu unaruhusu watumiaji kuweza kujamiiana na wenza katika mitaa unayoishi. Uzuri wa mtandao huu ni kuwa unatumia mashine inayoitwa Behavioral Matchmaking™ wenye uwezo wa kutambua mchumba atakaye kufaa zaidi kwa kutumia profile yako. Mtandao huu una watumiji zaidi ya milioni 25 duniani. [Soma: Jinsi ya kumtongoza mwanamke kwa klabu ama baa]3. Lovoo
Huu ni mtandao ambao unauwezo wa kutafuta wachumba wanaoishi karibu na wewe. Watumiaji wa mtandao huu ni milioni 12, Mtandao huu hutumia teknolojia ya rada kuwatafuta wachumba walio karibu nawe. [Soma: Jizuie usifanye mapenzi kwa kufuata hatua hizi]

4. Eskimi
Huu ni mtandao maarufu ambao una uwezo wa kuunganisha marafiki zako wa facebook ambao wako eskimi. Mtandao huu unakupa nafasi ya kuwaangalia na kutafuta wachumba kulingana na nchi, mikoa na miji tofauti tofauti.

5. SpeedDate
Huu ni mtandao unaokua kwa kasi zaidi. Ukiwa na watumiaji zaidi ya milioni 13, mtandao huu una uwezo wa kuwezesha kufanyika kwa deti kwa wakati uliopo na pia kuchat papo kwa hapo. [Soma: Njia rahisi kumuuliza mwanamke mtoke deti]

6. BeNaughty
Huu ni mtandao unaokuwezesha kutongoza, kujamiiana na kutangamana na wengine ambao wako single. Mtandao huu una uwezo wa kuwaorodhesha wanawake 100 wazuri zaidi hivyo kukupatia nafasi ya wewe kuchagua bila tatizo.

7. Tagged
Huu ni mtandao wenye watumiaji zaidi ya milioni 300. Mtandao huu unakupa nafasi ya kukutana na kipenzi chako kupitia kwa michezo ambayo inapatikana ndani yake. [Soma: Mambo ambayo wanawake hufanya ambayo huchukiza wanaume]

8. Instadate
Mtandao huu ni maarufu zaidi nchini Liberia. Mtandao huu unakupa nafasi ya papo kwa hapo kuweza kuchat na watumiaji ambao wako single. [Soma: Utajuaje kama mpenzi wako anataka kukuacha?]

9. AYI – Are You Interested?
Huu ni mtandao wa watu wakubwa. Mtandao huu umeunganishwa na facebook ambapo unaweza kuangalia picha, kuapload picha, kulike na kujua nani yuko interested.

10. SayHi!
Huu mtandao unadai kuwa na uwezo wa kuwaunganisha wachumba wapweke kupata mapenzi, kuweza kutongoza, kuchat na pia kupata marafiki wapya. Jambo la kipekee kwa mtandao huu ni kuwa mtumiaji anaweza kutafuta mchumba kwa kuangalia ramani na pia kutafuta deti kwa sehemu za karibu unazoishi. [Soma: Vitu vya kufanya na kuepuka ikija maswala ya kumtext mwanamke]

Bubble image

58 comments:

 1. natafuta marafiki wa kuchart nao kuanzi miaka kumi na nane na kuendelea pia wawe wanaishi dar es salam me jovianijustice namba yangu ni 0754210938

  ReplyDelete
  Replies
  1. Naitwa Hemedi natafuta mchumba naishi chalinze pwani namba yangu ya simu ni 0743414000

   Delete
 2. Pamoja Sana Bloger Mkalimu In Love. Mademu Wanitafute 0673125960

  ReplyDelete
 3. Naitwa hassan nobingo nipo arusha home tanga Natafuta rafiki wa kike awe na miaka 17adi18 ambaye atakuja kuwa mpezi ambaye yupo tayar anitafute na 0692691703

  ReplyDelete
 4. naitwa afro nipo mwanza natafuta marafiki wa kuchati nao,sibagui dini wala jinsia,
  whatssap na sms zote zitajibiwa +255762589229

  ReplyDelete
 5. hy mudi hapa nipo dare essalam tanzania nahitaja kua na mchumba,kwanza awe mrembo mwenye mvuto wa kutosha awe mrefu kiaina mweupe mweusi poa, ila awe mjasiliamali mwenye kujituma kutafuta pesa, checking na 0652270090

  ReplyDelete
  Replies
  1. Usijali umepata mbona nitakuchek

   Delete
  2. Naitwa Amina Nina miaka ishirini n mtoto 1 kaz yangu n tembeza machugwa natafuta mwanaume mzungu mwenyee pesa

   Delete
  3. Baba yako ana pesa

   Delete
 6. Naitww Antony natafuta marafki wa kike wq kuchat nao

  ReplyDelete
 7. Natafuta rafik wa kike kuchart nae miaka

  ReplyDelete
 8. Naitwa toluene nko dar natafuta marafiki.0714642101

  ReplyDelete
 9. Natafuta marafiki wa kike wakuchati nao by sahill
  0675022539

  ReplyDelete
 10. natfta girl wa kudate nae 0653731354

  ReplyDelete
 11. Naitwa Ibrahim umri wangu ni 34 yrs mkristo nahitaji mwenza alietayari kuwa mke awe mcha mungu mwenye mapenzi ya dhati na wife material umri wake 25-30 asiwe na mtoto no 0652629463

  ReplyDelete
 12. Mtanashati apa wa moro town,natafuta mwanamke mwenye umri wa miaka 30_36 age yangu n 27,check me for WhatsApp number is +255672570425

  ReplyDelete
 13. Natafuta marafiki wakuchart nao nakubadilishana mawazo wanicheck kupitia 0744401672 by vero

  ReplyDelete
 14. Naitwa Kenny nipo ARUSHA natafuta dem anicheki 0719894270

  ReplyDelete
 15. Naitwa Mtaki natafuta mchumba nipo MWANZA no 0621009881 awe na umri kuanzia miaka 20 na kuendelea isizidi 30. Nipo single mda mrefu sana now nahitaji mwenza awe mwaminifu.

  ReplyDelete
 16. Naitwa hasan nipo dar natafuta msichana umri 18 awe Islamic 0622321770

  ReplyDelete
 17. Naitwa Issa niko USA-river arusha Natafuta mchumba Asiwe mlevi umri 22

  ReplyDelete
 18. Naitwa jumanne Adam Niko Moshi natafuta mchumba see mwaminifu umri kuanzia miaka 23

  ReplyDelete
 19. Naitwa zummy nipo dar nahitahi marafiki wa kike na partner wa kike pia 0765069578 nicheki asap

  ReplyDelete
 20. Naitwa nipo arusha naitaj mwanamke mkwel kwang wakuishi nae alie tayar anichek 0785241178

  ReplyDelete
 21. Naitwa japhary npo iringa natafta marafiki wa like wa kuchat nao watsupp no 0767967994

  ReplyDelete
 22. Naitwa Jackson.
  Umri : 25
  Mkazi : Dar es Salaam.

  Nipo serious natafuta mpenzi atakaekuwa mchumba Kisha mke.

  Sifa. Umri : 18-24.
  Kikazi : Mchapakazi mwenye malengo chanya ya kimaisha, kikazi na biashara anitafute.
  Dini : Yeyote.
  Makazi : Popote Tanzania ila utapendeza kama atakuwa Dar.

  Aliye serious tu anitafute tuzungumze.
  Mawasiliano : 0687 218 267.
  Tuma SMS nitapiga au nipigie moja kwa moja.

  ReplyDelete
 23. natafuta mume awe anaishi marekani mika 30-35

  ReplyDelete
 24. Natafuta bwana mwenye pesa 0785725664

  ReplyDelete
 25. NAITWA SALIM NIPO ARUSHA .MWANAMKE ANAYEPENDA REAL LOVE KARIBU .UMR WANGU 24 .MAMI NJO UWE 18-35 KARBU 0785558106

  ReplyDelete
 26. Naitwa sam nipo mwanza natafuta marafiki wa kike wakubadiloshana mawazo nakupeana michongo yakihalali kwa alie tayari namba angu ni 0759217552

  ReplyDelete
 27. Naitwa Linah natokea mwanza namtafuta mchuma ambae yupo siliasi ili badae tufikie kutengeneza familia yetu sijali kipato chake Ila ningetamani awe mcha mungu sijali dini Wala kabila nachojali awe na upendo wa dhati atakaekuwa tayali anitumie meseji 0693817257
  Kupitia iyo namba

  ReplyDelete
 28. naitwa derick dedan naishi riverside natafuta mwanamke wa waanza nae maisha anitafute 0686866824

  ReplyDelete
 29. Natafuta girl ambaye yupo dodoma nahitaji awe mama watoto wangu

  ReplyDelete
 30. Assad, nipo Kahama , nafuta mke,0623295980

  ReplyDelete
 31. Naitwa Afro jinsia wa kiume, miaka 29 sitafuti mchumba wala mke bali natafuta marafiki wa kubadilishana nao mawazo sibagui dini kabila wala jinsia. whatsap +255762589229

  ReplyDelete
 32. Naitwa grace nipo mbeya miaka 19 natafata mpenzi

  ReplyDelete
 33. Naitwa grace npo mbeya ... Natafuta mpenzi. 0628194800

  ReplyDelete
 34. Nmeshindw kufuta comment hiyo ya grace ...lkn Kwa Sasa. Hayupo msimtafute kabisa jmn

  ReplyDelete
 35. Hiyo namba sio yake tenah ...... Jmn... Shaolewa .... Huko nmesajili upya huku

  ReplyDelete
 36. naitwa baraka natafuta demu yeyote alie dodoma 0679371497

  ReplyDelete
 37. Naitwa mathew nipo mwanza natafuta mchumba umri miaka 20 hadi 28 kwa aliyeko mwanza tu kama yupo tuwasiliane kwa namba 0656374510 asanteni sana

  ReplyDelete

Jiunge na jamii yetu ya Facebook/App yetu ili uweze kutangamana na members na readers wetu wa Nesi Mapenzi ama ujitafutie mpenzi HAPA

Powered by Blogger.