Karibu katika maktaba yetu ya Nesi Mapenzi - blog ya kipekee inayotambulika zaidi katika kuelimisha na kuyatatua matatizo ya mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke. Na kwa kuwa tuko hapa ili kukujuza wewe msomaji wetu, tumekuandalia vitabu spesheli ambavyo vitakunufaisha wewe moja kwa moja kwa kukupa elimu na pia kuwezesha mahusiano yako yawe mema pamoja na mpenzi wako.
Kwa wale ambao wako single na wanatatizika jinsi ya kupata mchumba/wachumba wa kike tumewaandalia kitabu mahususi kwao ambacho kinaweza kupatikana kiurahisi. Kitabu chenyewe kinajulikana kama Kutongoza Mwanamke: Kuanzia Hadharani Hadi Kitandani.
Kwa wale ambao tayari wako kwa mahusiano lakini wangependa kuyamudu mahusiano yao basi siri ni moja, siri ni jinsi ya kumtosheleza kitandani. Hivyo kama paneli ya Nesi Mapenzi tumekuandalia kitabu spesheli kwa ajili yako ili uweze kumfikisha mpenzi wako kileleni na kuyafanya mahusiano yako kuwa ya furaha daima. Kitabu chenyewe kinajulikana na wengi kama Staili 365 Za Kumfikisha Kileleni.
NB: Kitabu hiki ni kizuri kwa wote wanaume na wanawake.
Kwa wale ambao wanatatizika kutongoza kwa kuwa wameishiwa na mistari ya kutongoza tumekuandalia kitabu spesheli. Kitabu hiki kimekusanya maneno matamu na ya kuvutia ili kumfanya mwanamke apendezeke na wewe kuanzia mwanzo hadi mwisho. Kitabu chenyewe kinaitwa MAHABATI na unakidownload BURE