Kutuhusu Sisi

Karibu kwa NESIMAPENZI.com

NESIMAPENZI.com ni tovuti ambayo inajaribu kuendeleza sanaa na mbinu za jinsi ya kutongoza kwa kuelezea mitindo tofauti tofauti ambayo hutumiwa siku hizi. Tovuti hii inakusanya maoni, tafiti na vipengele tofauti tofauti kutoka kwa wahusika ili kuboresha ubora wa nakala tunazozichapisha.

Iwapo unataka kuhusishwa na tovuti hii unaweza kuwasiliana na admin wa NESIMAPENZI.com kupitia akaunti yake ya Facebook ama Google+

Tafadhali angalia sera ya faranga na sheria na masharti ya tovuti hii

3 comments:

 1. nimeipenda saaaaana blog yenu ila sehemu nyingi ni mwanamke tuu kumpumbaza.mambo ya wanaume ni machache why

  ReplyDelete
 2. Tumeshukuru kupokea maoni yako. Muda huu tuko mbioni tukiandaa machapisho spesho ambayo yatakuwa yakilenga kumpumbaza, kumzuzua, kumvutia mwanaume nk. Hivyo usitishie shaka. Mwezi unaokuja tutakuwa tukihusisha machapisho mengi ambayo yatakuwa na umuhimu mwingi kwa mwanamke.

  Karibu

  ReplyDelete
 3. It's great that you are getting ideas from this post as well as from our argument made at this place. gmail.com login

  ReplyDelete

Jiunge na jamii yetu ya Facebook/App yetu ili uweze kutangamana na members na readers wetu wa Nesi Mapenzi ama ujitafutie mpenzi HAPA

Powered by Blogger.