Well, wengine huingia online kutafuta mitandao ambayo ni spesheli ya kutangamana na kutafuta wachumba. Uzuri wa kutafuta wachumba kupitia mitandao ya kijamii ni kuwa una nafasi kubwa zaidi kuchagua mchumba ambaye anatabia ambayo unazipenda.
Hii hapa ni baadhi ya mitandao bora zaidi ambayo ina umaarufu zaidi barani Afrika.
Mitandao ya kutafuta wachumba
1. Zoosk
Huu ni mtandao ambao wenyewe wanaupigia upato kuwa mtandao wa kutafuta wachumba unaoongoza kwa umaarufu bara la Afrika. Mtandao huu unaruhusu watumiaji kuweza kujamiiana na wenza katika mitaa unayoishi. Uzuri wa mtandao huu ni kuwa unatumia mashine inayoitwa Behavioral Matchmaking™ wenye uwezo wa kutambua mchumba atakaye kufaa zaidi kwa kutumia profile yako. Mtandao huu una watumiji zaidi ya milioni 25 duniani. [Soma: Jinsi ya kumtongoza mwanamke kwa klabu ama baa]
2. Nipenzi
Huu mi mtandao spesheli wa kutumia kitumizi na ambao unatumia lugha ya Kiswahili. Mtandao huu ni rahisi kuutumia. Kile kinachohitajika hapa ni kuchagua picha ya mtu kwa kuilike ama kuikataa. Iwapo wewe na huyo mwingine mumependezwa na picha zenu mtaorodheshwa kama wachumba wa kufaana. Pia inaorodhesha watu ambao wanaishi karibu na wewe.
3. Lovoo
Huu ni mtandao ambao unauwezo wa kutafuta wachumba wanaoishi karibu na wewe. Watumiaji wa mtandao huu ni milioni 12, Mtandao huu hutumia teknolojia ya rada kuwatafuta wachumba walio karibu nawe. [Soma: Jizuie usifanye mapenzi kwa kufuata hatua hizi]
4. Eskimi
Huu ni mtandao maarufu ambao una uwezo wa kuunganisha marafiki zako wa facebook ambao wako eskimi. Mtandao huu unakupa nafasi ya kuwaangalia na kutafuta wachumba kulingana na nchi, mikoa na miji tofauti tofauti.
5. SpeedDate
Huu ni mtandao unaokua kwa kasi zaidi. Ukiwa na watumiaji zaidi ya milioni 13, mtandao huu una uwezo wa kuwezesha kufanyika kwa deti kwa wakati uliopo na pia kuchat papo kwa hapo. [Soma: Njia rahisi kumuuliza mwanamke mtoke deti]
6. BeNaughty
Huu ni mtandao unaokuwezesha kutongoza, kujamiiana na kutangamana na wengine ambao wako single. Mtandao huu una uwezo wa kuwaorodhesha wanawake 100 wazuri zaidi hivyo kukupatia nafasi ya wewe kuchagua bila tatizo.
7. Tagged
Huu ni mtandao wenye watumiaji zaidi ya milioni 300. Mtandao huu unakupa nafasi ya kukutana na kipenzi chako kupitia kwa michezo ambayo inapatikana ndani yake. [Soma: Mambo ambayo wanawake hufanya ambayo huchukiza wanaume]
8. Instadate
Mtandao huu ni maarufu zaidi nchini Liberia. Mtandao huu unakupa nafasi ya papo kwa hapo kuweza kuchat na watumiaji ambao wako single. [Soma: Utajuaje kama mpenzi wako anataka kukuacha?]
9. AYI – Are You Interested?
Huu ni mtandao wa watu wakubwa. Mtandao huu umeunganishwa na facebook ambapo unaweza kuangalia picha, kuapload picha, kulike na kujua nani yuko interested.
10. SayHi!
Huu mtandao unadai kuwa na uwezo wa kuwaunganisha wachumba wapweke kupata mapenzi, kuweza kutongoza, kuchat na pia kupata marafiki wapya. Jambo la kipekee kwa mtandao huu ni kuwa mtumiaji anaweza kutafuta mchumba kwa kuangalia ramani na pia kutafuta deti kwa sehemu za karibu unazoishi. [Soma: Vitu vya kufanya na kuepuka ikija maswala ya kumtext mwanamke]
natafuta marafiki wa kuchart nao kuanzi miaka kumi na nane na kuendelea pia wawe wanaishi dar es salam me jovianijustice namba yangu ni 0754210938
ReplyDeletePamoja Sana Bloger Mkalimu In Love. Mademu Wanitafute 0673125960
ReplyDeleteNaitwa hassan nobingo nipo arusha home tanga Natafuta rafiki wa kike awe na miaka 17adi18 ambaye atakuja kuwa mpezi ambaye yupo tayar anitafute na 0692691703
ReplyDeletenaitwa afro nipo mwanza natafuta marafiki wa kuchati nao,sibagui dini wala jinsia,
ReplyDeletewhatssap na sms zote zitajibiwa +255762589229
hy mudi hapa nipo dare essalam tanzania nahitaja kua na mchumba,kwanza awe mrembo mwenye mvuto wa kutosha awe mrefu kiaina mweupe mweusi poa, ila awe mjasiliamali mwenye kujituma kutafuta pesa, checking na 0652270090
ReplyDeleteUsijali umepata mbona nitakuchek
DeleteNaitww Antony natafuta marafki wa kike wq kuchat nao
ReplyDeleteNo0768370069
ReplyDeleteNatafuta rafik wa kike kuchart nae miaka
ReplyDeleteNaitwa toluene nko dar natafuta marafiki.0714642101
ReplyDeleteCharlez 0658542403
ReplyDelete0658542403 chalz
ReplyDeleteNatafuta marafiki wa kike wakuchati nao by sahill
ReplyDelete0675022539
natfta girl wa kudate nae 0653731354
ReplyDeleteNaitwa Ibrahim umri wangu ni 34 yrs mkristo nahitaji mwenza alietayari kuwa mke awe mcha mungu mwenye mapenzi ya dhati na wife material umri wake 25-30 asiwe na mtoto no 0652629463
ReplyDeleteMtanashati apa wa moro town,natafuta mwanamke mwenye umri wa miaka 30_36 age yangu n 27,check me for WhatsApp number is +255672570425
ReplyDeleteNatafuta marafiki wakuchart nao nakubadilishana mawazo wanicheck kupitia 0744401672 by vero
ReplyDeleteMambo vero
DeleteNaitwa Kenny nipo ARUSHA natafuta dem anicheki 0719894270
ReplyDeleteNaitwa Mtaki natafuta mchumba nipo MWANZA no 0621009881 awe na umri kuanzia miaka 20 na kuendelea isizidi 30. Nipo single mda mrefu sana now nahitaji mwenza awe mwaminifu.
ReplyDeleteNaitwa hasan nipo dar natafuta msichana umri 18 awe Islamic 0622321770
ReplyDeleteNaitwa Issa niko USA-river arusha Natafuta mchumba Asiwe mlevi umri 22
ReplyDelete