Jinsi Ya Kumkiss Mwanamke Kibahati Mbaya Na Asione Kama Ni Jambo Zito


Je, ushawahi kuingiwa na matamanio ya kumkiss rafiki yako wa dhati? Ijapokuwa kufikiria jambo kama hili huonekana ni sawa, matamanio ya kumkiss mwanamke ambaye ni rafiki yako mara nyingi huenda tofauti na matarajio yako.

Kama umeshawahi kujaribu kumkiss rafiki yako basi mara nyingi kile ambacho hutokea ni kuwa rafiki yako anaweza kukukasirikia, kukushangaa ama mara nyingi huwa inashindikana.


Leo tumekuja na mbinu ambazo unaweza kuzitumia ili uweze kumkiss rafiki yako bila ya yeye kuchukulia vibaya.


Hatua za kumkiss rafiki yako


1. Mkiss akiwa amelewa.

Hii ni mbinu salama zaidi ya kuweza kumkiss rafiki yako na asichukulie vibaya. Halafu pia mbinu hii hutokea mara asilimia 50 kwa watu wanaojuana. Hali hii mara nyingi hutokea katika sehemu za klabu, bash ama party ambayo umehudhuria na marafiki zako. [Soma: Hatua za kumfanya mwanamke akukiss wa kwanza]


Mbinu hii unaweza kutumia wakati ambapo nyote mmelewa halafu mnaanza mazungumzo. Mazungumzo yenu yanaweza fikia mahali pa kumkiss bila tatizo.


2. Mkiss wakati unamliwaza.

Mbinu hii unaweza kuitumia kumkiss rafiki yako kwa urahisi sana. Wale ambao wametumia mbinu hii watakwambia kuwa mbinu hii huwa nzuri zaidi.


Hatua hii hutokea wakati ambapo rafiki yako anatatizwa na misongo ya mawazo. Labda kuna jambo linamsumbua na ameona aje kwako ili uweze kumliwaza. Hapa unaweza kuchua hatua ya kumkiss bila ya yeye kuona kama ni tatizo kubwa. [Soma: Dalili za kuonyesha kuwa imefika wakati wa kumkiss mpenzi wako]


3. Cheza mchezo wa truth or dare.

Hii ndio ile mbinu rahisi ya mwisho ambayo unaweza kuitumia. Truth or dare ni mchezo ambao unachezwa kuwa kuamua kusema ukweli ama ukubali kufanya jambo ambalo utaambiwa kufanya.


So hapa unaweza kutumia mbinu hii kuweza kumkiss rafiki yako bila tatizo lolote bila ya yeye kuona kama kuna tatizo.


4. Mkiss kibahati mbaya.

Hapa unaweza ukamkiss rafiki yako wakati unakuwa na mazungumzo na yeye. Hapa lazima ujue cha kumwambia na pia lazima ujue ule wakati ambao unaweza kutumia kumkiss.


Mbinu hii utaitumia ule wakati ambao umemsogelea karibu zaidi. Mfano katika mazungumzo haya:


Wewe: Hi. Nataka kuenda kutembea mtaani, wewe?

Rafiki: Sawa!

Wewe: Wasema?

Rafiki: Nasema ni sawa!

Wewe: Unatakwa tende sehemu gani?

Rafiki: Shela!

Wewe: Mbona tusiende Bagaomoyo?

Rafiki: Bagamo...

(mkiss)


Mbinu hii hutumika kirahisi sehemu ambazo zina kelele nyingi kama vile kwa klabu ama kwa sinema...[Soma: Jinsi ya kumkiss mwanamke mara ya kwanza]No comments:

Jiunge na jamii yetu ya Facebook/App yetu ili uweze kutangamana na members na readers wetu wa Nesi Mapenzi ama ujitafutie mpenzi HAPA

Powered by Blogger.