Kwa Nini Wanaume Hupenda Matiti Ya Wanawake? Sababu Tunazo!


Unaweza kuyaondoa matiti mbele ya uso wa mwanaume, lakini huwazi kuzuia macho yake kusitisha kuyaangalia. Huu ni msemo ambao umekuwa ukitumika karne nyingi na madada zetu. Hii ni ishara kuonyesha kuwa wanaume wanajulikana kuwa ni viumbe wanaopenda matiti ya wanawake kwa ujumla.


So, ni kitu gani kinachowafanya wanaume kuyapenda matiti namna hii?

Wanawake hushindwa kuelewa ni kitu gani kinachowafanya wanaume kupenda matiti sana. Vivyo hivyo kama vile wanawake wanavyopenda kuambiwa maneno matamu, kuletewa maua, ama kutamani chokoleti nyakati za usiku wa kiza, wanaume hupenda matiti.

So hakuna kitu cha kustaajabisha.

Hivyo basi tumekuandalia sababu ambazo huwafanya wanaume kupenda kuyaangalia matiti zaidi ya kitu chochote kile katika umbo la mwanamke.

#1 Hayapo kwa nyuso zetu. Hii ni chanzo kikuu kuashiria kwa nini wanaume wanapenda matiti. Wanaume hawawezi kuyaona matiti ya kila mwanamke wanaomtaka, labda tu iwe katika mitandao. Jambo hili ndilo linalowafanya kuwa na shauku nyingi kuyahusu matiti. Kitu cha kwanza ambacho kinatofautisha mwanaume na mwanamke ni matiti, halafu baada ya hapo ni kiweo kipana. [Soma: Tambua iwapo mwanamke unayemvizia ana boyfriend]

Halafu pia bila kusahau ni kwamba macho ya mwanaume na level ya matiti si kubwa sana, kile unachohitajika ni kuyashusha macho yako kidogo tu utayaona vizuri.

Halafu mbaya kabisa ni kuwa matiti huwa yamefichwa ndani ya nguo. Hii inamaana kuwa mwanaume hapaswi kuyaangalia matiti wakati wowote ule. Hili jambo ndilo linalowafanya wanaume kuingiwa na tamaa ya kuyaangalia matiti kadri ya uwezo wao. Hata kama ni kujenga fikra na maliwazo kuyahusu.

#2 Michezo ya kiakili ya kufumbua. Wakati mwanaume anapoyatizama matiti ya mwanamke, kile anachokiona ni shepu ambayo inajitokeza nje ya shati alilovaa mwanamke. Na hili hufanya matiti yaonekane mazuri kulingana na vile mwanamke alivyoyatandaza.

Matiti yaliyotandazwa vizuri kuisisimua akili ya mwanaume kuanza kufikiria jinsi matiti hayo yalivyo umbika kwa uzuri wake. Ni fumbo ambalo atahitaji kulifumbua na atakuwa na maswali mengi ya kujiuliza. Mfano, je yako saizi gani? Ni soft kiasi gani? Je yako laini? Je naweza kuziona chuchu zake nikimakinika katika hilo shati? Nk. Haya ndio maswali yanayomzunguka muda wote huku akijaribu kupata kuyaona na mwonekano tofauti na ule wa kwanza.

Matiti yaliyofichwa huwa yanajenga mchezo wa kiakili ili kumfanya mwanaume kuja na taswira tofauti tofauti kuyahusu.

#3 Matiti na mibenuko. Kando na kupenda kuangalia mpira, ni kitu gani ambacho kinawafanya wanaume kupenda matiti? Well, wanaume hupenda matiti kwa kuwa yanawafanya wanawake kuwa na shepu tajika. Matiti mazuri yanamjeuza mwanamke kuwa na shepu ya ‘fulani’ hadi ya Vera Sidika. [Soma: Maneno ambayo mwanamke anatamani umwambie]

Wanaume hawana matiti, na hili jambo ndilo linawafanya wazuzuike na wanawake ambao wako nayo. Wanaume  wako bapa kwa kifua na hata waingie gym mara ngapi kwa siku vifua vyao haviwezi kulingalishwa na wanawake. Kiufupi ni kuwa wanaume huwa na wivu wa kutaka kujua ni nini haswa kinafichika ndani ya matiti ya mwanamke.

#4 Wanaume hupenda jinsi matiti ya wanawake yanavyofeel ukiyagusa. Wanawake huwa soft na nyororo kuwaliko wanaume. Hata mwanaume anyoe nywele kwa kifua chake mara ngapi hatoweza kufikia ulaini wa mwanamke.

Mwanaume anaweza kuspend siku nzima akiyatomasa matiti ya mwanamke bila kuchoka. Na kila wakati atakapogusa pale kwa ule mwinuko katikati ya matiti atatamani kuanza tena na tena. Kwa mwanaume, matiti ndio sehemu ilio laini kuliko kitu chochote ulimwenguni.

Upo! Hizi ndizo sababu kuu ambazo huwafanaya wanaume kuyapenda sana matiti

No comments:

Jiunge na jamii yetu ya Facebook/App yetu ili uweze kutangamana na members na readers wetu wa Nesi Mapenzi ama ujitafutie mpenzi HAPA

Powered by Blogger.