Kwa Nini Kumfanya Akupende Mwishowe Atakukataa (Na Hatua Za Kufanya)


Je ushawahi kumuona rafiki yako akimtongoza mwanamke bila kufaulu?

Ulimwona akitumia mbinu zote ambazo mwanaume yeyote yule wa kawaida angeweza kutumia lakini hakutoboa...

Mwanzo huyo mwanamke aliyemtongoza alikuwa akipenda uwepo wake (rafiki yako) wakati wote...mpaka ukadhania ya kuwa wanapendana kwa dhati...

Ama labda pia wewe ushawahi kutongoza mwanamke lakini mwishowe akakukataa?


Na mbaya zaidi ni kuwa ulitumia stadi zako zote mpaka mwanamke huyo akakupenda...

Well, hapa makosa yanatokea vipi?

Makosa ni kuwa wanaume wengi hufikiria ya kuwa njia ya kumtongoza mwanamke  ni kwanza umfanye apendezwe nawe.

Wanaume wengi wanadhania ya kuwa mwanamke akipendezwa na wewe...

...basi ni automatic atakuwa mpenzi wako na atalazimika kufanya mapenzi na wewe (ama ajeuke kuwa girlfriend wako)

Lakini ukweli ni kuwa...

Wanawake hawachagui wanaume kulingana na jinsi wanavyowapenda...

Bali wanachagua kulingana na KIASI GANI AMBACHO WANASISIMULIWA NAO.

...halafu masikitiko mengi zaidi ni kuwa wanaume wengi wanashindwa kulifahamu hili...

Kuwa kwa mwanamke si lazima awe ANAKUPENDA ili uweze KUMSISIMUA.

Kwa kawaida inatokea hivi, pindi mwanamke anaposisimuliwa kwa njia flani...

Kuna kitu cha kushangaza ambacho kinafanyika katika akili yake:

Sehemu yake ya ubongo ambayo inamfanya aweze 'kufikiria kwa kutathmini' INAJIZIMA yenyewe bila yeye kuelewa.

Athari yake ni kuwa itamfanya yeye kufikiria na kuwa na maamuzi ya mapenzi ambayo ni tofauti na hulka na maoni yake...

Ok ushawahawi humuona mwanamke akimkubali mwanaume ambaye aliapa ya kuwa hatawahi kumkaribia kwa kuwa ana tabia mbaya, hampendi nk?

Ama kumskia mwanamke akilalamika kuwa alifanya kosa la kudeti mwanaume ambaye hakuwa katika ligi yake mara kwa mara...

Ama kumwona mwanamke ameanza uhusiano wa kimapenzi na mwanaume ambaye walikuwa marafiki kwa miaka mingi...

Ama mbaya zaidi kumskia mwanamke akilalamika kuwa amelala na mwanaume ambaye alikuwa hata hamjui?

Ok. hii ni ishara ambayo inaitwa 'Athari ya Mzunguko'

Na kuiamsha hisia aina hii kwa mwanamke ni kama UFUNGUO wa kumfanya apoteze uwezo wake wa kujidhibiti na kumfanya akushambulie kwa kukutaka kimapenzi, bila kujali itikadi wala hulka yake.

Soma sehemu ya pili ya chapisho hili hapa

No comments:

Jiunge na jamii yetu ya Facebook/App yetu ili uweze kutangamana na members na readers wetu wa Nesi Mapenzi ama ujitafutie mpenzi HAPA

Powered by Blogger.