Mbinu Ya Kufanikisha 'Athari Ya Mzunguko'


Wanaume ambao wanataka kujua jinsi ya kumsisimua mwanamke kwa kutumia maneno huwa wanatafuta mstari mmoja ambao utafanya kazi kama hirizi ili kumpandisha mzuka mwanamke yeyote. Lakini utafutaji wa mstari huu si jambo lisilowezekana pekee (mistari hii haipo) bali pia ni vigumu kutumika. Ok. kawaida inakuwa hivi, kuna mbinu tofauti tofauti za kumsisimua mwanamke kwa kutumia matamshi. Kwa kuielewa mitindo na sehemu tofauti tofauti ambazo zinaonekana kiurahisi, unaweza kumpata mwanamke na kumsisimua kuliko mstari wowote ule ambao ushawahi kutumika.


Na kwa kulizungumzia swala hili, tumekuja na mbinu ambayo utaitumia kumfanya mwanamke asisimkwe na wewe hata bila ya yeye kupata nafasi ya kufikiria iwapo anakupenda au la. Mbinu hii tumeipa jina 'Athari ya Mzunguko' [Soma utanguliza wa chapisho hili HAPA]

Zama nami...

So tutafanyaje mpaka mwanamke aathirike na 'Athari ya Mzunguko'? Kama paneli ya Nesi Mapenzi, tumeandaa hatua tatu muhimu ambazo zitamsisimua mwanamke na kumpokonya uwezo wake wa kufanya maamuzi kutokana na hulka na itikadi zake.

#1 Maneno yako
Njia moja ya jinsi ya kumsisimua mwanamke na maongezi yako inahusiana na kuyajeuza maongezi yako kuwa ya kimapenzi. Kuleta hoja za kimapenzi itafikia kilele ambacho kitamfanya mwanamke aanze kufikiria maswala ya kufanya mapenzi. Na pindi anapofikiria kuhusu mapenzi ndipo utakapozidi kumsisimua kihisia. Enyewe kivyovyote vile kufikiria kuhusu mapenzi kunatosha kuiamsha saikolojia ya mapenzi ambayo itamfanya kusisimka kimapenzi haraka sana.

Kufahamu kuwa unapaswa kutumia maneno ya kimapenzi ni jambo la kwanza, na jinsi ya kufanikisha mbinu hii ni jambo jingine. Kwa wanaume ambao hawataki kuonekana kama wana tamaa ama wanyemevu wanaweza kuona jambo aina hili kuwa ni ngumu sana. Lakini kuna mbinu rahisi sana kutimiza mbinu hii huku ukiyafanya maongezi yako kuonekana ya furaha na ya kutamanika.

Njia moja ya kutumia mbinu hii ni kutumia maneno ya mapenzi fioa.

Mapenzi fioa inamaanisha kuongea kuhusu kitu flani ambacho hakina uhusiano wowote wa mapenzi kwa njia ambayo itaonekana kama ni ya kimapenzi. Kuna maneno au misemo (tunda limeiva, kuskia baridi, ndizi, kuwa na unyevu, nk) yanaweza kutumika kama mapenzi fioa kwa rahisi sana. Pindi unapotafuta na kutaka kujifundisha maneno haya zaidi ndipo itakuwa rahisi kwako zaidi kuweza kuyatumia.


#2. Uchomozi wa mlalano
Kuyajeuza maongezi hadi yawe ya mlalano inaweza kusaidia pakubwa, lakini kuongea kuhusu mtombo haitoshi. Wakati wanaume wanapoongea kuhusu ngono, kuna makosa makubwa mawili ambayo wanayafanya.

Kosa #1: Kuna wanaume hujaribu sana, kuonyesha kwa mwanamke jinsi walivyo na utombi (sexual) mwingi. Inafikia hatua flani inavuka mipaka na kuonekana kama wana tamaa au wanyemelevu.

Kosa #2: Wanaume wengine wanaenda kinyume. Hawajiskii huru kuonyesha uume wao na huamua kuhepa kuongea kuhusu mapenzi na mwanamke kwa sababu hawataki kuonekana kama wana tamaa ama kutokuwa na heshima. Kama hujiskia huru mbele ya mwanamke kuonyesha utombi wako basi pia mwanamke atajiskia vivyo hivyo akiwa karibu yako.

Ikija swala la uchombozi wa mlalano, kitu muhimu ni kuwa lazima ujiskie huru na uume wako. Mwonyeshe kwamba kuwa na utombi na kuongea kuhusu mlalano si hoja kubwa. Ukionekana kuwa unajiskia huru na uume wako, inatoa nafasi kwa yeye kujiskia huru na wewe zaidi.

Njia ya mazoezi ya kufanikisha jambo hili la uchomozi wa mlalano ni kujiamini na "kujiiga kama". Jione wewe kama mwanaume ambaye yuko huru kuonyesha utombi wake kwa mwanamke. Jeuka mwanaume ambaye anaweza kupata mwanamke yeyote ambaye anamtaka. Mwanaume ambaye anajua kuwa wanawake wanamtaka (hivyo hana muda wa kuthibitisha) na anajua kuwa anaweza kucheza gemu kubwa ikija swala la chumbani.

Jizoezeshe jinsi utajihisi ukiwa na tabia kama aina hii ya mwanaume na anza kujiiga. Baada ya muda mfupi utakuwa umejizoea na utageuka kuwa na tabia hio.

#3. Migusano
Kufanikisha mazungumzo mazuri na mwanamke, itafika mahali flani utahitajika kufanya jambo kulihusu. Hutataka kuonekana kama mwanaume ambaye anaongea sana na kuwa na mdomo mwingi bila kuonyesha vitendo. Ni lazima umuonyeshe kuwa unajihisi huru kwa kuonyesha utombi wako.

Miguso inaonyesha kuwa unajiskia huru kuvuka mipaka na kuwa na hisia za ndani na yeye. Na kama jambo la ziada, kumtomasa au kumpapasa mwanamke huwa hunatoka homoni kutoka kwa ubongo wake, inayojulikana kama oxytocin - jambo ambalo litamfanya kuingiwa na furaha na utulivu. Na kadri atakavyozidi kukupa nafasi ya kumpapasa ndivyo zaidi unapozidi kumsisimua. Njia murua ya kuitumia baraka hii vizuri ni kuanza kwa kumpapasa kiulaini, kimchezo na sehemu ambazo atajiskia huru. Kufanya hivi kutamfanya ajiskie huru na miguso yako na atakupa nafasi ya kuanza na hapo. Huku ukiendelea, utataka kuongeza lishe yako ya mguso na kuingia katika sehemu ambazo ni faragha yake (isiwe sehemu zake za ndani zaidi...huko kuache utakuingia baadae)

Huu hapa ni mfano mzuri: Mapema wakati wa kukutana kwenu anza kwa kuudara mkono wake - sehemu ya kiko. Kutoka hapo unaweza kuanza polepole kuingia katika sehemu yake binafsi. Weka mkono wako katika sehemu yake ya juu ya mgongo na mabega na uache ukae hapo kwa sekunde kadhaa kabla kuuondoa. Hii inatoa nafasi ya kwake kujiskia huru na miguso yako bila kuingiwa na wasiwasi wowote (kufanya hivyo kunamwonyesha kuwa haoko hapo kumpapasa,  na hivi kutamfanya aingie na hamu ya kutaka zaidi). Endelea kumpapasa sehemu zake binafsi (sehemu ya chini ya mgongo, sehemu ya nje ya mapaja na mwishowe tumbo lake, mapaja yake, na uso). Kadiri unaposogea kihatua (huku ukimsifia), ndivyo atakavyofurahishwa na wewe zaidi.

Kupapasa mwanamke ni sanaa nzito ambayo inaweza kukusaidia katika maongezi yako. Unaweza kuongea kuhusu jambo ambalo linaboesha zaidi ulimwenguni lakini kama umemshikilia karibu yako, ukitomasa nywele zake na uso, kuyapapasa mapaja yake, na kulisha na kunongonezea katika sikio lake...haitajali chochote kile ambacho utakuwa ukiongea, utakuwa ukimsisimua haraka sana.

Kama unaweza kuunganisha mambo haya matatu - mazungumzo ya kimapenzi, kuonyesha ujiaminifu kwa kuonyesha utombi wako, na kumpapasa kimapenzi - utamfanya atetemeke na kutojielewa umemfanya nini. Utakuwa umempokonya uwezo wake wa kujitambua na atataka ufanye zaidi ya yale unamfanyia.

2 comments:

Jiunge na jamii yetu ya Facebook/App yetu ili uweze kutangamana na members na readers wetu wa Nesi Mapenzi ama ujitafutie mpenzi HAPA

Powered by Blogger.