Hatua 11 Za Kufanya Kumshawishi Mwanamke Mfanye Mapenzi


Najua umechoshwa kumuona yule mwanamke mrembo ambaye unapishana naye kila siku aidha ukiwa nyumbani, kazini, shuleni ama hata katika ule mkahawa maarufu ambao unapenda kutembea kila wikendi bila kuongea na yeye.
Ama labda ni yule mwanamke ambaye umefanya kumuona majuzi na ni mgeni kwako.

Hatua 11 Za Kufanya Kumshawishi Mwanamke Mfanye Mapenzi

Well, haya si matatizo makubwa kwani kama unataka kumtongoza na kumuwini hadi ufanye mapenzi na mwanamke basi unapaswa kuelewa mambo kadhaa yanayofanya kazi, na ujue mbinu za kutumia ili zifanye kazi kwa manufaa yako.
Kama hutaweza kuwa yule mwanaume ambaye anaweza kumshawishi mwanamke kirahisi. basi inaweza kuwa vigumu  wakati wa kujaribu kuteka atenshen yake.

Lakini usiwe na wasiwasi coz hizi hatua ambazo tutakupatia sahizi zitakusaidia pakubwa kuweza kumuwin mwanamke kirahisi.
So inakuwaje?

Kabla tuanze nataka ufahamu kuwa kila mwanamke anakuwa na ladha yake tofauti tofauti ikija kwa kuchagua mwanaume, na ukitumia ujanja wako vyema wa kutotambulika basi unaweza hata kulala naye kwa muda mfupi zaidi bila wewe hata kufikiria.

Hatua 11 za kufanya ufanye mapenzi na yeye


#1 Kuwa karibu na yeye
Kama unamtaka mwanamke basi kitu cha kwanza ni kuwa lazima umjue vizuri. Usijitokeze na ubabe mwingi wa kujiona beberu kwa sababu atakuona kama tishio kwake ama hatakuwa huru kuongea na wewe ama mbaya zaidi ataboeka na wewe.

Fanya kuongea na yeye ili umjue vizuri. Mtumie meseji mara kwa mara na tumia lugha ambazo zitakuwa sahili kwake ili akukubali haraka. Lakini usiwe na pupa ya  kuanza kumtongoza, la. Onyesha tu ule upendo wa kirafiki mara ya kwanza.

#2 Pendezeka
Hii hatua ndio itakayoamua iwapo kama umempendeza ama wampotezea wakati wake. Wakati unapoongea na yeye mara kwa mara jaribu kuangalia ishara zozote kutoka kwake iwapo yuko interested na wewe au la.

Hii hatua unapaswa kumtext na kumtumia jumbe ambazo zitalingana na mambo anayoyapenda. Mfano kama anapenda kuhusu mada za sinema basi pia wewe fanya tafiti kuhusu filamu ambazo anazipenda ili uweze kumpendeza.

Hii hatua pia unapaswa uchunge usiwe mtu wa kuboa kwani ataanza kukutenga polepole mpaka mwisho ujione mjinga. Ukimwona ameanza kujibu meseji zako kuchelewa ama kutokujibu siku nzima basi fahamu ameanza kukutenga. Hivyo basi hakikisha kuwa unakuwa mjanja katika hii hatua. [Soma: Vitu vya kufanya na kuepuka unapomtumia meseji mwanamke]

#3 Kuwa active usiku wa kiza
Wakati mzuri na ule wa msisimko ni kutumia jumbe usiku wa kiza na kupigiana masimu. Usiku wa kiza ni muhimu kwa kuwa mwanamke ni rahisi kuitikia kile ambacho unataka wewe.

Hakikisha wakati unapoanza kumtumia jumbe anza na nyakati za jioni siku ya kwanza, saa mbili siku ya pili mpaka azoee kuchat na wewe mida hizo za saa nne hadi usiku wa kiza.

Pia hapa uchunge meseji zako zisikuje kwa uzito. Anza kwa kumchokoza polepole hadi ufikie pale ambapo unaweza kumtumia meseji za mapenzi hadi zile za kumpandisha nyege.

#4 Ishi maisha mawili
Hapa ni pale ambapo unahitajika kumchanganya. Kila wakati wa usiku unapomtumia jumbe na kumpigia simu hakikisha kuwa unamsuka, unamtongoza na unamrushia meseji za kimahaba. Lakini ikiwa wakati wa mchana umekutana na yeye usijaribu kuongea kama vile ambavyo unaongea naye usiku unless yeye mwenyewe aanzishe stori kama hizo – ishara ya kuwa amependezwa na wewe.

Halafu muhimu zaidi ni kuwa wakati mnapokuwa na marafiki wengine msiongee kuhusu chat zenu kabisa, yaani ni nyinyi wawili pekee ndio mnaopaswa kuongea mambo kama hayo. Hii itaingia kwa akili yake kuwa mambo mnayoyafanya usiku ni kati ya nyinyi wawili hivyo basi lazima kuna kitu ambacho kinaendelea kati yenu.

#5 Usimuonyeshe kuwa unampenda
Hapa ndipo wanaume wale wa ‘kawaida’ ndio wanapofanya makosa. Wanamwambia mwanamke kuwa wanampenda na kuwa wanahisia na wao. Yeah, ofcourse unampenda. Tayari anajua hilo, si ni kweli? Unamtext kila wakati, unampigia simu kila mara, na lazima atakuwa anahisi hio kemia.

Lakini ijapokuwa ana fununu ya kuwa unampenda, anahitaji uhakikisho wake kupitia kwa kukusikia wewe umwambie hivyo. Cheza kijanja, usimwambie na mapema. Utakuwa unamsisimua na ataathirika na wewe kihisia. Lakini kumwambia mapema hisia zako zitaua ile haja ya yeye kutakaa kujua zaidi kutoka kwako. Wanipata? [Soma: Jinsi ya kuathiri hisia za mwanamke]

#6 Ingia katika himaya yake ya binafsi
Wakati mko nyinyi wawili pekeenu, kaa karibu na yeye na ujifanye kama hukuona kama umekaa na yeye karibu sana. Umekuwa ukimtongoza mara kwa mara so ni wakati wako sasa wa kuingia katika himaya yake binafsi.

Iguse mikono yake ama vidole vyake wakati ambapo unaongea kitu flani, weka mikono yako kwa kiuno chake wakati unapishana na yeye ama unaenda ule upande mwingine, mguse huku ukimsifia, ama unaweza kumkumbatia sekunde zaidi wakati mnaagana. [Soma: Mbinu ya kumpatisha nyege mwanamke bila kukusudia]

#7 Jenga tenshen ya kemia
Kufikia sasa, atakuwa anahisi hisia kila wakati ambapo unamgusa kimaksudi au kibahati mbaya. Hii ndio hatua ambayo unapaswa umfanye atamani miguso yako. Kumbuka hapa kuwa lengo letu ni kufanya mapenzi na yeye lakini tunaenda kimpango. Wakati unapokuwa unamgusa, hakikisha kuwa mkono wako unatomasa mgongo wake ama mikono yake. Msogelee karibu zaidi na umwambie maneno kupitia kwa masikio yake. Ongea kwa sauti nzito na iliyo ya kuvutwa wakati unapokuwa naye. Jenga kemia vile inavyohitajika na utamfanya atamani mikono yako ibaki kwake daima. [Soma: Jinsi ya kumsisimua mwanamke kabla kufanya naye mapenzi]

#8 Cheza michezo
Kama umekuwa ukimsuka na umekuwa ukimjaza kila wakati unapokuwa umekaa na yeye, basi utakuwa umemtongoza na ameingiliana na unaweza hata kuenda kulala na yeye.

Lakini kama unataka kuchukua mambo hatua kwa hatua basi unaweza kurudi kule kwa text na uwe unamtumia jumbe za kumsuka na kumchanganya akili mara kwa mara. Hapa utakuwa unamtongoza huku ukienjoy. Tumeelewana hapa?

#9 Mazungumzo machafu
Umekuwa ukimtext, ukimsuka, na kumtongoza kila usiku. Na kama amekuwa akiingiliana na text hizo zako, hapa basi ndipo unaweza kuwa na ile ruhusa ya kuongea uchafu na yeye na kuchukua hatua ya juu zaidi. Tumia simu yako kuanza kwa kumtumia meseji zilizo rahisi ambazo zinaonekana safi hadi ufikie kule kwa kumtumia meseji chafu. Na bila hata kujijua mtajikuta nyote wawili mkisex chat pamoja. [Soma: Meseji za kumtumia mwanamke ili kumwandaa kusex chat na yeye]

#10 Mwagize mtoke out
Pindi ambapo mtakuwa mshafanya sex chat na mwanamke kupitia kwa simu itakuwa tayari ushafunga mchezo. Sasa kile kilichobakia ni kufanya mapenzi ana kwa ana. Mwambie mtoke out ama mwambie kuwa unataka kukutana na yeye siku moja. Tengeneza plan ya kukutana nyumbani kwake ama aje mkutane kwako. Hakikisha kuwa sehemu ni hizo mbili pekee na wala si kukutana sehemu za umma unless kama bado unajaribu kumtongoza mara nyingine. Na hapa ndipo utaamua kama mahusiano yenu yatakuwa ya mlalano ama yatakuwa ya romance.

#11 Fanya mapenzi na yeye
Na mwisho utakapokutana na yeye – tayari anajua ajenda ya kukutana na wewe – usimrukie papo kwa papo eti kwa kuwa tayari umefanya sex chat na yeye kwa simu.
Unaweza kuharibu mpango mzima ambao umekuwa ukiujenga kwa muda.

Well. Hili somo kama unataka kulipata na kulisoma kwa kina na hatua za moja kwa moja basi jichukulie nakala yako ya kitabu cha ‘KUTONGOZA MWANAMKE: Kuanzia Hadharani Hadi Kitandani' ili uweze kukuza kipawa chako ambacho bado hujakivumbua cha kuwanasa wanawake.



No comments:

Jiunge na jamii yetu ya Facebook/App yetu ili uweze kutangamana na members na readers wetu wa Nesi Mapenzi ama ujitafutie mpenzi HAPA

Powered by Blogger.
##valentine ##valentine