Jichukulie Nakala Yako Sasa Hivi

Kama uko tayari kuwa tofauti na wanaume wa 'kawaida' na kujeuka kuwa sumaku kwa wanawake basi umeingia sehemu ambayo ni sawa. Kitabu chetu cha KUTONGOZA WANAWAKE: Kuanzia Hadharani Hadi Kitandani kimebadilisha maisha ya wengi na tunapoongea ni kuwa wasomaji wanajitokeza na kuonyesha mafanikio baada ya kukisoma kitabu hiki.

Ndani ya kitabu hiki tumekusanya hatua kadha wa kadha nazo ni:


♦Kuzijua ishara zote za mwanamke anazozitoa kuonyesha kuwa amevutiwa na wewe (hakuna ishara hata moja ambayo tumeiacha nyuma)

♦Jinsi ya kumuangalia mwanamke na macho ambayo yataashiria kuwa umependezwa na yeye.

♦Jinsi ya kuhama kutoka himaya tofauti tofauti wakati unapoapproach mwanamke. Hii ni kuanza kwa himaya ya umma (hadhira) hadi himaya ya mlalano (hii ni himaya ambayo unakuwa huru kumpapasa na kumbusu hadi kufanya na yeye mapenzi, yote kwa usiku mmoja)

♦Kuvivunja vizingiti vyake wakati unapoongea na yeye ili uweze kumgusa.

♦Kuzifahamu ishara zake za kukataa na zile za kukubali ili uweze kutimiza kile ambacho unataka kumfanyia.

♦Jinsi ya kumuapproach. Hapa utajifunza jinsi ya kumuaproach na njia tofauti tofauti bila kukuona kama tishio.

♦Jinsi ya kujenga confidence. Hapa tutakufundisha hatua za kujeuka mwanaume alpha ambaye kila mwanamke anatamani kuwa naye. Hii mbinu tutakufunza mbinu ambazo utazitumia mpaka mwanamke atakuwa anatamani umuaproach ili apate nafasi ya kuongea na wewe.

♦Pia katika kitabu hiki tutakufundisha Sanaa ya Mazungumzo. Hapa ndipo tutakueleza mbinu ya kujenga kemia na mwanamke kwa kutumia mazungumzo. Kuna mbinu kadhaa ambazo utazitumia kama sanaa ya mazungumzo. Ile mbinu yako ya kuongea na mwanamke utaiacha na utaanza kutumia hii sanaa ya mazungumzo ili uweze kumfanya mwanamke ahisi kama amekujua zaidi ya miezi sita iliyopita (Sanaa hizi zitatatua tatizo la wale wanaotafuta mistari ya kutongoza).

♦Pia utafundishwa jinsi ya kuwachagua wanawake. Kama Nesi Mapenzi, tunaamini kuwa sehemu yeyote ambayo kuna hadhira ya watu, huwa lazima kuna mwanamke mmoja ambaye yuko tayari kufanya mapenzi na wewe. Ni vile tu bado hujajua ni mwanamke yupi. Kwa hiki kitabu tutakufundisha jinsi ya kumjua huyo mwanamke na uweze kufanya naye mapenzi usiku huo.

♦Pia katika hiki kitabu kuna Programu ya Isimu Ubongo. Hii ni programu ambayo itakufunza jinsi ya kuwafanya wanawake wanaokuchukia wakupende. Programu hii itakufunza jinsi ya kuzungumza na wanawake kulingana na vile wanavyoichukulia hii dunia.

♦Na mbinu nyingine nyingi. Kitabu hiki hakijaacha kitu nyuma. Mwanzo kitabu hiki kina kurasa zaidi ya 170, hivyo kwa uhakika ni silaha nzito kwa mwanaume yeyote ambaye yuko serious kama anataka mwanamke hivi sasa.

Kitabu chenyewe ni bei ya Tsh 6,000 /Ksh 300. Bofya >>HAPA<< kuchukua oda yako sahizi

Powered by Blogger.