Jinsi Ya Kuweza Kudownload Kitabu Chako

Tunakushukuru kwa kuingia ukurasa huu. Kitabu hiki kinanunuliwa na njia ya M-pesa. Wale ambao nchi zao hawatumii Mpesa wanaweza kukinunua kwa mfumo wa PayPal kwa kuingia hapa

Kwa wale walioko nchini Tanzania wanahitajika kufuata hatua ifuatayo  kupitia kwa simu zao za Vodacom ili kununua kitabu chenyewe:
  1. Bonyeza *150*00# ili upate kuona MENYU yako ya M-pesa
  2. Changua option ya 1 SEND MONEY
  3. Chagua TO MPESA KENYA
  4. Chini ya “Send Money to M-Pesa Kenya” utaona exchange rate za Tsh-Ksh
  5. Weka nambari hii ya simu 254707917370
  6. Andika sababu ya kutuma hela “Business
  7. Weka kiasi cha hela unachohitajika kutuma. Hio ni Tsh 6,000
  8. Weka pin yako ya Mpesa
  9. Idhinisha transaction yako.
Baada ya sekunde chache utapokea meseji kutoka kwa Mpesa kuthibitisha kuwa umetuma hela kwa akaunti ya Ibrahim Abiyo. Ichukue ile code ya Mpesa, mfano 3GA851250D na uitumie hapo chini. Weka email namba yako na jina lako ili uweze kutumiwa kitabu hiki kwa email yako.  Iwapo umetuma pesa lakini hujapokea meseji kutoka kwa Mpesa basi tuma jina ambalo limesajiliwa katika Mpesa halafu tutakutumia kitabu chako.


Jina Lako


Email Yako*


Code Ya Mpesa*



Kwa wale walioko nchini Kenya wafuate mbinu ifuatayo kupitia kwa simu zao za Safaricom:
  1. Fungua Mpesa MENU yako
  2. Nenda kwa SEND MONEY
  3. Katika Enter Phone Number, weka nambari 0707917370
  4. Weka kiwango cha hela ambacho unapaswa kutuma. Hio ni Ksh 300
  5. Weka pin yako ya Mpesa
  6. Idhinisha transaction yako.
Baada ya sekunde chache utapokea meseji kutoka kwa Mpesa kuthibitisha kuwa umetuma hela kwa akaunti ya Ibrahim Abiyo. Ichukue ile code ya Mpesa, mfano  KQJAXBZ3&4 na uitumie hapo juu. Weka email/Whatsapp namba yako na jina lako ili uweze kutumiwa kitabu hiki kwa email yako. 

NB: Kama kuna tashwishi, makosa ya transaction ama kuchelewa kwa kufika kwa kitabu chako ama lolote lile tafadhali wasiliana na admin kwa urahisi kupitia kwa Facebook yake hapa>> www.facebook.com/usiniseme <<ili akusaidie ipasavyo.

Powered by Blogger.