Ishara 15 Za Kuonyesha Kama Mwanamke Amevutiwa Na Wewe


Kuna wakati mwingine inatokea wakati ambapo mwanamke anavutiwa kwako.

Tatizo ni kuwa wanaume wengi wanashindwa kuwa na ujuzi wa kufahamu ishara zozote ambazo mwanamke anajaribu kuonyesha wakati anapovutiwa nawe. Mbeleni kwa Nesi Mapenzi nilieleza kwa kina ishara za kuonyesha kama mwanamke amevutiwa kwako na leo nimeamua kudokeza ishara za uhakika ambazo zinaashiria ya kuwa mwanamke amevutiwa kwako. [Soma: Siri zilizofichwa jinsi ya kumvutia mwanamke]


Ishara za kuonyesha kama mwanamke amependeza kwako


1. Anaitengeneza nguo yake vizuri ama kuziweka nywele zake vizuri wakati ambapo uko karibu naye.

2. Anayalenga matiti yake upande wako na kuyapandisha juu wakati mnapozungumza.

3. Anacheka mizaha yako....hata kama haichekeshi.

4. Anaingiwa na wivu wakati ambapo unazungumza kuhusu wanawake wengine.

5. Anainama kinyuma kuridhisha matakwa yako.

6. Anaulizia watu wengine (marafiki zako) kukuhusu.

7. Anavalia wakati anapokuona.

8. Anakuuliza kama una girl friend...ama kutaka kujua maisha yako ya kimapenzi ya zamani.

9. Anakuomba mtoke out.

10. Anaanza approach ya kwanza kwako.

11. Anakutext bila sababu, na anapenda kukuuliza maswali ya kukujua mambo yako.

12. Anakupa namba yake ya simu wakati ambapo umemuomba email yake.

13. Anapenda kutumia maneno ya kutongoza na anakasirika wakati unapomtesa.

14. Anakuangalia machoni mwako bila kusita ama kuangalia mabega.

15. Anapapatika wakati ambapo unampapasa lakini haonyeshi dalili za kukataa.  [Soma: Hatua za kufanya ili umfanye mwanamke aingiwe na wivu kwa manufaa yako]


No comments:

Jiunge na jamii yetu ya Facebook/App yetu ili uweze kutangamana na members na readers wetu wa Nesi Mapenzi ama ujitafutie mpenzi HAPA

Powered by Blogger.