Mbinu Za Ushawishi Ili Umpate Mwanamke Mtandaoni


Sehemu nzuri zaidi ambayo unaweza kufanikiwa kupata mwanamke bila tatizo lolote ni kwa mitandao ya kijamii. Kulingana na tafiti imebaini kuwa mitandao ya kijamii ni ni kichocheo kikubwa cha kuunganisha watu wawili hadi kuchumbiana.


Hii ndio sababu kuu ya wanaume wengi kujiingiza katika mitandao ili kujaribu bahati yao ya kuwavutia na kuwashawishi wanawake. Habari njema ni kwamba wanaume wengi hufanikiwa katika azma yao.

Kuingia katika mitandao ya kijamii na kujaribu kuwashawishi wanawake inaweza kuwa jambo gumu kiasi na wakati mwingine likawa rahisi. Wengine hutumia fursa ya kutumia mitandao kama mazoezi ya washawishi wanawake huku wengine wakifanikiwa kupata wachumba ambao wanakuwa nao katika maisha yao ya kawaida.

Well, kama hujawahi kutongoza mwanamke online, ama unapata vigumu kutongoza basi leo tumekuandalia mbinu mwafaka ambazo zitakuwezesha wewe kumtongoza yeyote yule katika mitandao ya kijamii kiurahisi. [Soma: Utajuaje kama mpenzi wako anakupenda]

#1 Mtongoze.
Kama maisha ya kawaida, kumtongoza mwanamke akiwa online ni lazima kama ibada. Itakuwa bora zaidi ukichanganya mitindo spesho ya kutongoza mara kwa mara, Mnyeshee kwa kumsifu siku moja halafu unakuwa mfidhuli siku nyingine. Jambo muhimu hapa ni utambue kuwa lazima unafaa kumfanya awe ametulia wakati unapochat na yeye. Pia lazima awe anajiskia yuko huru kabisa wakati mnapoongea. Hii itahakikisha kuwa anapenda na kufurahia kutaka kukujua zaidi na labda siku moja atatamani muweze kukutana ana kwa ana.

#2 Tafuta maneno ya kwako.
Usithubutu kutafuta mistari ya papo kwa papo kwani kawaida haifaulu katika mitandao. Kile unachohitajika kufanya ni kuhakikisha umepanga mazungumzo yenu vizuri ili usiweze kukwama mbeleni. Pia hakikisha kuwa unaingiza maneno ambayo yataleta hisia za kucheka na furaha. Hii itamfanya amakinike zaidi na wewe. [Soma: Jinsi ya kuwatambua wanawake wanaopenda pesa badala ya mapenzi (goldigger)]

#3 Mfanye Acheke.
Ok najua si kila mtu ana talanta ya kumfanya mwanamke yeyote acheke kama vile Eric Omondi, lakini unafaa angalau utumie maujanja uliozaliwa nayo ili kumfanya mwanamke acheke. Nasema hivi kwa sababu wanawake wengi kawaida hupenda wanaume wacheshi. Ukitumia mbinu hii utamfanya akiwa offline ama online, fikra zake zitakuwa kwako.

#4 Usimwambie kila kitu chako.
Ukiwa unachat na mwanamke online, hakikisha humwambii kila kitu chako kwa wakati mmoja. Hakikisha ya kuwa kama mnachat unamfungulia moyo wako pole pole. Hii itamfanya yeye kuwa na shauku ya kutaka kukujua zaidi. Ukiweka baadhi za siri zako kikapuni, lazima ataingiwa na tamaa ya maswali hivyo kutaka kuongea na wewe zaidi na zaidi.

5. Kutana na yeye uso kwa uso.
Mwisho wa siku -baada ya kumtongoza na kumjua nje na ndani -unafaa kumuuliza kama atatoka out na wewe. Kumbuka hii ni level nyingine kubwa sana katika chat ya online hivyo kabla hujamuagiza mukutane uso kwa uso, lazima ujipange vilivyo. [Soma: Mitandao ya kutongoza mwanamke unayofaa kuijua kabla hujaoa]



5 comments:

  1. Goma village virunga

    ReplyDelete
  2. minatafuta mpenzi wakuowa

    ReplyDelete
  3. Ndoa yangu ilikuwa karibu kufikia mwisho nilipoona maoni juu ya mtu anayeitwa Dr DAWN ambaye husaidia watu kuwarudisha wenzi wao na niliwasiliana naye kwa bahati nzuri kwangu aliniroga baada ya masaa 24 mpenzi wangu alirudi kwangu tangu wakati huo ndoa yangu imekuwa. amekuwa mtulivu asante kwa yote aliyonifanyia naweza kukuhakikishia kuwasiliana naye,
    yeye ni mjuzi wa maneno yafuatayo:
    * maneno ya mapenzi
    *miujiza ya ndoa
    * uchawi wa pesa
    * bahati nzuri
    * Vivutio vya ngono inaelezea
    * UKIMWI Tiba Uchawi
    * Pango la Casino
    * Mapango Yamelaaniwa Yameondolewa
    * Ulinzi Spell
    * Uchawi wa bahati nasibu
    * Maneno ya Bahati
    * Tahajia ya Uzazi
    * Pete ya Telekinesis
    WhatsApp: +2349046229159

    Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com

    ReplyDelete

Jiunge na jamii yetu ya Facebook/App yetu ili uweze kutangamana na members na readers wetu wa Nesi Mapenzi ama ujitafutie mpenzi HAPA

Powered by Blogger.
##valentine ##valentine