Hatua Za Kumtomasa Mwanamke Hadi Atamani Umpeleke Chemba


So kufikia sasa umemtongoza mwanamke ambaye ulikuwa umempenda na mumejuana kwa muda mrefu. Umeamua sahizi kuchukua hatua ya mbele katika mahusiano yenu. Unataka kumjua kiundani zaidi ya vile ambayo unavyomjua. Unataka kumtomasa. Utaanza vipi?

Kwa kawaida wanawake wanapenda kutomaswa hasa wakiwa na wapenzi wao. Kutomaswa ni moja wapo ya mambo ambayo wanawake hupenda sana. Hii ni kwa sababu wakiwa katika hali ya kutomaswa, huwa wanajihisi salama zaidi kuliko wakati wowote ule wanapokuwa pekeao.

Hivyo kumtomasa mwanamke ni rahisi sana iwapo utajua hatua za kuchukua. Tutakufundisha hatua za kuchukua ili ufanikishe mpango mzima.

Hatua ya 1: Hakikisha ya kuwa anajihisi yuko huru. 

Kabla ya kuchukua hatua ya kumtomasa wanamke hakikisha ya kuwa yuko huru kuwa na wewe. Kama hajazoea kuwa na wewe mkiwa pekeenu basi itakuwa vigumu kwako kuweza kutimiza hatua ya kumtomasa. Hivyo itakubidi uhakikishe ya kuwa kwanza mwanamke huyu amekuzoa vizuri na hana wasiwasi mbele yako.

Hatua ya 2: Mwambie aje akiwa pekeake.

Wanawake hupenda kutembea kimakundi ili kukwepa kuwa na mtu ambaye hawajawazoea. Hivyo kutaka kujua iwapo amekuzoea, muite nyumbani kwako aje aangalie filamu na wewe. Usisahau kumwambia kuwa kuja kwake asichukulie kama ni deti bali aje akiwa tu kama kawaida. 

Hatua ya 3: Kaa katibu na yeye.

Kama unataka kujua jinsi ya kumtomasa mwanamke lazima ukae na yeye karibu yake. Unaweza kufanikisha hivi kwa kumgojea kwanza akae chini. Kisha unaweza kwenda kumchukulia kinywaji halafu uweke filamu. Mwisho unakaa na yeye kando yake. [Soma: Jinsi ya kumpandisha nyege mwanamke kwa kukaa kando yake]

Hatua ya 4: Weka filamu ya kutisha.

Filamu nzuri za kuweka ni zile za kutisha. Hii kutampagawisha mwanamke kwa kuingiwa na woga na atataka akukuaribie zaidi na zaidi ili uweze kumshika. Mwanamke akiingiwa na woga atataka usalama kutoka kwa mwanaume ambaye anamjua. Hapa ni wewe ndiwe atakayekuwa anakuangalia ili woga umuondoke.

Hatua ya 5: Zima heater/washa air condition.

Kulingana na mazingira ambayo unaishi, sehemu ambazo kuna joto unaweza kuwasha AC na iwapo ni sehemu za baridi unaweza kuzima thermostat. Hatua hizi ni kuhakikisha ya kuwa kunakuwa na baridi. Baridi ni kichocheo muhimu cha kumfanya mwanamke kutaka kutomaswa ili kuweza kupata joto mwilini. Hatua hii lazima mwanamke atatamani joto lako ili aweze kuituliza baridi mwilini mwake.

Hatua ya 6: Mpatie kinywaji baridi.

Baada ya kufanya mazingira ya chumbani mlipo kuwa baridi, sasa mpatie kinywaji ambacho ni baridi ili anywe. Inaweza kuwa juice ama coke, yeyote ile ambayo unaona iko sawa. [Soma: Sababu zinazowafanya wanawake wachepuke]

Hatua ya 7: Pitisha mkono wako kwake.

Baada ya kuhakikisha ya kuwa umefanya hatua zilizotangulia kwa umakini, sasa unaweza kuchukua hatua ya kupitisha mkono wako kwake na upande wa nyuma. Kwa kuwa tayari anasumbuliwa na baridi kali, atatamani akukumbatie hivyo itakuwa rahisi kwako kumtomasa.

Hatua ya 8: Mvute kwako.

Sasa bila shaka hawezi kukataa. Mvute upande wako na uhakikishe ya kuwa amekulemea. Hatua hii nyote mtakuwa mnaifurahia kwa kuwa mnaitoa baridi kutoka kwa miili yenu bila wasiwasi.

Hatua ya 9: Soma reaction zake.

Je wakati ulipomvuta akuegemee alireact vipi? Je alikuwa na wasiwasi ama alikuwa shwari? Je alikuwa anakataa kataa ama alikuwa huru kukuegemea?

Ukiona kama kulikuwa na pingamizi yeyote basi inamaanisha hajajihisi huru na wewe. Mpatie nafasi kwanza hadi ule wakati atakuwa huru. Kama hakuonyesha pingamizi yeyote basi endelea kwa hatua inayofuata.

Hatua ya 10: Msifie.

Wakati ambapo amekuegemea. Unaweza kumsifia. Usimwambie maneno kama `umependeza` bali unaweza kumwambia maneno kama vile; unanukia utamu. Hii itampatia mawazo ya kuwa bado hujatosheka kwa yeye kuwa karibu naye. [Soma: Jinsi ya kutongoza wanawake ambao wako kwa kikundi]

Hatua ya 11: Endelea kumtomasa.

Hii ni hatua muhimu ambayo unafaa kuitumia. Baada ya kumsifia unaweza kuanza kuipapasa ngozi yake huku ukiendelea kumtomasa.

NB: Hatua hii ni ishara ya kuwa uko huru kuendelea na kuangalia filamu ama unaweza kuamua kumpeleka chemba. Upo!1 comment:

Jiunge na jamii yetu ya Facebook/App yetu ili uweze kutangamana na members na readers wetu wa Nesi Mapenzi ama ujitafutie mpenzi HAPA

Powered by Blogger.