Ishara Za Kuonyesha Kuwa Mwanamke Anataka Umpeleke Chemba


Umekuwa ukimwangalia machoni na kutumia miondoko ya mwili kama tulivyokueleza katika machapisho awali. Pia ukapata kujua kuwa ameshavutiwa na wewe na anaonyesha dalili za kuenda na wewe nyumbani. Katika kitabu chetu cha Kutongoza Mwanamke: Kuanzia Hadharani Hadi Kitandani tumeandika hoja muhimu za kutaka kujua iwapo mwanamke uliyemwona hadharani yuko na uchu au la. Na sasa tayari umeshamgundua, ni hatua yako sasa ya kumuapproach.


Lakini kabla kuchukua hatua ya kumwambia, “Beb twenz’ etu” ukaingiwa na wasiwasi kidogo. Ukaingiwa na woga ukiwa na maswali iwapo mwanamke huyu amekubali ama unabahatisha tu. Ukarudi nyuma kidogo kufikiria. Mara muda wa dakika mbili kufikiria huyu mwanamke ameshaenda zake. Unamtafuta ukamkosa. Unagundua hujachukua namba yake ya simu wala kujua jina lake kamili ili uwe na nafasi nyingine labda kumtafuta kwa mitandao...

Well, kabla tuendelee zaidi na hapo. Acha tuseme baada ya wewe kumaliza kusoma somo hili, tukio la hapo juu halitawahi kukutokea kamwe. Sababu tumekuja na njia ambazo utazisoma kwa mwanamke kutambua kuwa anataka uende naye nyumbani kwako. Ishara zote tunazo.

Ishara za kuwa anataka umpeleke nyumbani ukampige viboko ni kama zifuatazo.

#1 Anakwambia moja kwa moja.
Hii ndio njia rahisi ambayo anaweza kukuambia na ukaelewa. So akikwambia kuwa anataka umpeleke nyumbani, basi hakuna cha kung’amua zaidi. Kila kitu atakuwa ashakiweka wazi.

#2 Anakuuliza kama unaishi pekeako.
Hapa anajua kuwa unaishi na rafiki yako ama mzazi wako. Lakini bado anakuuliza tu. Unajua kwa nini? Anataka kujua kama ni salama kama ataenda na wewe kwako. Ama unaweza kumsikia akikuuliza, “sahizi nyumbani kwenu kuna nani?”

#3 Hawezi kukuangalia bila kutabasamu.
Kama mara kwa mara anakuangalia bila kusita, hii ni ishara dhahiri kuwa anakuhisi. Kama anakusuka huku anatabasamu basi hio ni dalili tosha ya kukuambia kuwa anataka umpe haki yake. [Soma: Mbinu ya kumchokora mwanamke hisia]

#4 Anatoa ushauri wa sehemu nyinyi wawili muende.
Anaweza kukuambia mwende sehemu flani. Mfano anaweza kukuambia, “Si leo twende ile sehemu ya....mimi huipenda sana kwa sababu ina...... Ok hawezi sema mambo kama haya kama hataki kuenda na wewe huko.

#5 Kila kitu kwake ni miguso.
Je anaigusa mikono yako mara kwa mara? Kugusa shingo yako je? Na bado hujaelewa ni nini kinachoendelea? Well, acha tuseme kuwa mtu akiwa anakushika shika hivyo bila sababu zozote basi ni ishara ya kuwa yuko interested na wewe. So pia wewe la kufanya ni kumwiga kila kitu anachokufanyia.

#6 Anakutumia meseji za usiku wa kiza.
Wanawake hupenda usingizi wao. Lakini ukimwona huyu mwanamke anakutumia meseji nyakati ambazo si za kawaida basi jua kua analengo lake. Atakuwa anakufikiria kwa njia nyingine. Ile ya kimahaba. [Soma: Jinsi ya kumtext mwanamke hadi akupigie simu wa kwanza]

#7 Anapitisha mikono kwa nywele zake.
Hii huwa inakuja natural. Wanawake hupenda kucheza na nywele zao na kuweka wazi shingo zao ili zionekane. Hii imeshonwa katika DNA ya viumbe vyote duniani kuashiria kujisalimisha. So wakati mwingine ukiwa unaongea naye kisha amekuwekea shingo ili uione ni ishara ya kujisalimisha. Tulieleza ishara kama hizi katika machapisho yetu ya awali.

#8 Anamakinika na kila kitu chako.
Well, hapa ni pale mwanamke anatambua yale mambo madogo madogo kukuhusu. Mfano ataona umenyoa ndevu, atagundua kama uko na alama inayoonekana, shati lako liko mtindo flani nk. Hapa si kawaida mtu anaweza kuona kila kitu lakini ukiona amemakinika na wewe sana, pia wewe anza kumakinika. [Soma: Mbinu za kijanja za kumwona rafiki yako wa kike akiwa uchi]

#9 Mtizamo sambamba.
Katika machapisho yaliyotangulia tulieleza jinsi ya kujua kama mwanamke anataka umkiss. Hapa pia ndivyo hivyo hivyo. Ukimwona anakuiga unachofanya, mfano ukimsogelea na yeye anakusogelea, ukimwangalia macho na midomo naye anafanya hivyo hivyo, hii ni ishara tosha anataka umpeleke nyumbani.

#10 Anakurushia maswali ya ‘girlfriend wako’
Hii ni mbinu ya kitambo ambayo hadi wa leo inatumika. Na wanawake huipenda sana. Ukiona anakuuliza maswali kama, “Najua girlfriend wako angependa umpeleke sehemu hii”, ama, “Girlfriend wako atakasirika” basi hapa anataka kujua iwapo uko singo ama una mtu. Hapa nafahamu una jibu la haraka kumwambia mwanamke aina hii.

#11 Anagawa chakula na wewe.
Hakuna mwanamke yuko tayari kugawa mate yake na mwanaume ambaye hajamzoea, so ukiona amekukaribisha mle sahani moja, basi usisahau mgawe kila kitu baadae pia.

#12 Analeta mada za mapenzi na mlalano.
Wanawake huwa hawapendi kuongea maswala ya mapenzi haswa wakiwa pamoja na wanaume unless awe ni mwandishi wa jarida la Nesi Mapenzi, la sivyo basi huyu ana hamu na wewe umueleze kila kitu kiundani. [Soma: Jinsi ya kumuaproach mwanamke katika gari la abiria]

#13 Anakuuliza jinsi ya kuwasiliana na wewe.
Hapa yuko interested na wewe na angependa kuendelea mazungumzo yenu wakati mwingine. Hapa anaweza kuuliza namba yako ya simu ama pia anaweza kutaka kujua sehemu ambayo unaishi.

#14 Anaushika mdeki.
Sasa hapa ni ile hatua ambayo wakati mnaongea anashukisha mkono wake hadi kwa suruali yako. Hapa atakuwa anaashia hamu yake haswa iko wapi. Na kama nyote mmekubaliana basi imefikia ule wakati nyote wawili kutoka na muende mnakoenda.

#15 Anakukiss.
Hapa haimaanishi moja kwa moja kama yuko tayari kulala na wewe bali anajaribu kupima maji. So akiona na wewe umeashiria kwa njia chanya, basi mchezo umemalizika.

Ok, hizi ndizo baadhi ya mambo ambayo mwanamke akiwa anakuonyesha ukiwa na yeye basi anakupa ishara kuwa yuko tayari kwenda chemba. Lakini pia lazima uwe makini wakati unapozisoma ishara hizi. Lazima pia kwa upande wako uwe na uhakika kamili kuwa pia yeye yuko tayari kwa jambo hilo.

No comments:

Jiunge na jamii yetu ya Facebook/App yetu ili uweze kutangamana na members na readers wetu wa Nesi Mapenzi ama ujitafutie mpenzi HAPA

Powered by Blogger.