Jinsi Ya Kupokea Nakala Yako

Unaweza kuchagua aidha kupokea kitabu chako kupitia Whatsapp ama kwa email yako.
Kwa wale walioko nchini Tanzania wanahitajika kufuata hatua ifuatayo kupitia kwa simu zao za Vodacom ili kununua kitabu mojawapo:
- Bonyeza *150*00# ili upate kuona MENYU yako ya M-pesa
- Changua option ya 1 SEND MONEY
- Chagua TO MPESA KENYA
- Chini ya “Send Money to M-Pesa Kenya” utaona exchange rate za Tsh-Ksh
- Weka nambari hii ya simu 254791391535
- Andika sababu ya kutuma hela “Business”
- Weka kiasi cha hela unachohitajika kutuma. Nayo ni tsh 3000
- Weka pin yako ya Mpesa
- Idhinisha transaction yako.
Kwa wale walioko nchini Kenya wafuate mbinu ifuatayo kupitia kwa simu zao za Safaricom:
NB: Kama kuna tashwishi, makosa ya transaction ama kuchelewa kwa kufika kwa kitabu chako ama lolote lile tafadhali wasiliana na admin kwa urahisi kupitia kwa Facebook yake hapa>> www.facebook.com/usiniseme <<ili akusaidie ipasavyo.
- Fungua Mpesa MENU yako
- Nenda kwa SEND MONEY
- Katika Enter Phone Number, weka nambari 0791391535
- Weka kiwango cha hela ambacho unapaswa kutuma. Nayo ni ksh 150.