Jinsi Ya Kudownload Nakala Yako

Tunakushukuru kwa kuingia ukurasa huu. Kitabu hiki kinanunuliwa kwa njia ya Paypal kwa wale ambao hawana M-pesa katika nchi zao.

Jinsi ya kupokea nakala yako.

Hatua ya kufanya ni kuclick 'Buy Now' hapo chini.
Utapelekwa katika ukurasa wa Paypal ambapo utaulizwa ulogin.
Kama huna Paypal account basi utashuka chini ulipe na Debit or Credit Card.
Utaingizwa kwa ukurasa ambao utaweka information kuhusiana na malipo ya Card yako.
Malipo yako yakiidhinishwa utapelekwa sehemu ambayo utaweza kudownload Nakala yako moja kwa moja.
NB: Mfumo huu wa malipo unadhaminiwa na Paypal, hivyo malipo yako ni ya salama 100%

Ingia kwa link hapo chini ujichukulie nakala yako ya Staili 365 Za Kumfikisha Kileleni
Powered by Blogger.