Ujumbe

Habari yako msomaji wetu wa Nesi Mapenzi. Tumeamua kuja na mbinu mpya ambayo itakunufaisha. Mbinu yenyewe ni kuwatumia wasomaji wetu machapisho spesheli ambayo yatakuwa tofauti na machapisho ambayo yanakuwa katika blog hii ya Nesi Mapenzi. Kiufupi ni kuwa tutakuwa tukieleza machapisho kwa upana zaidi ya vile ambavyo unaona sahizi. Na machapisho yenyewe hatutayaweka kwa mitandao ili kila mtu ayaone bali yataletwa spesheli kwako kupitia email yako.

Kile utahitajika ni ujisajili na kuthibitisha email yako. Kujisajili kutategemea. Hatutaruhusu kila mtu kujiunga kwa jamii hii yetu ya siri. So ukishajisajili utangojea uthibitisho kupitia email yako ujue kama tumekuruhusu kama mwana kikundi au la.

Ujumbe Ujumbe Reviewed by Admin on 3/01/2019 Rating: 5
Powered by Blogger.