Kuna ujuzi ambao kila mwanaume anapaswa kujua ikija katika maswala ya kutongoza mwanamke. Na huu ujuzi ndio ambao unahitajika kila wakati ambapo utaanza approach kwa mwanamke. Ujuzi huu wa kutongoza huanzia kwa kujua kumwangalia kwa macho, kutabasamu, kuapproach, kuongea, kuomba namba hadi kutoka deti. Mbinu hizi ni lazima mwanaume awe na uwezo wa kuzikamilisha bila tashwishi wowote.
Somo la leo tutawafundisha ujuzi huu wa kutongoza ambao unapaswa kuujua kabla siku ya Valentine kufika. So tuanze na wapi?
Zama nasi.
#1 Hauwezi muwini mwanamke kama hautaucheza mchezo.
Wanaume wengi wanakuwa na uoga wa kuaproach mwanamke. Wanaogopa ya kuwa wakiaproach mwanamke watakataliwa ama mbaya zaidi waingiwe na kigugumizi kisichokuwa na mwisho pindi watakapomtokea mwanamke. Uoga huu ndio unawafanya wengi wasichukue hatua ya kuaproach mwanamke.Kile wanachokisahau ni kuwa uko na asilimia hamsini ya kukubaliwa kama utamuaproach mwanamke, lakini utakuwa na asilimia mia ya kumkosa mwanamke iwapo hutachukua hatua ya kumuaproach mwanamke. So kuaproach mwanamke ni lazima kama unataka kufanikiwa. Usitarajie mwanamke akuaproach wewe.
#2 Mtizamo wa macho.
Njia rahisi ya kuteka atenshen ya mwanamke na kutaka kujua kama yuko interested na wewe ni kwa kupitia njia ya macho. Tumia sanaa za kutongoza kwa kutumia macho. Usimwangalie sana asije akakuona kama fala. Kuna mbinu mwafaka ambazo unafaa kufuata wakati ambapo unatumia macho kuiteka atenshen ya mwanamke. [Soma: Mbinu za kutumia macho kuteka atenshen ya mwanamke]#3 Ustadi wa kutabasamu.
Jambo jingine ambalo lazima ujue ni kutabasamu. Wanaume wengine wanakuwa na tabasamu bora natural kama vile Vin Diesel ama Christiano Ronaldo. So ukiona tabasamu lako unaliona halivutii, unaweza kufanya mazoezi kwa kioo ujifunze kutabasamu. Yaani itakubidi uige hadi ikuige. Hakuna cha kubahatisha. Kusmile kunaweza kuwa tofauti tofauti. Kuna kule kutabasamu kiaibu, kujiamini, kutoeleweka nk. Mwisho wa siku tafuta tabasamu ambalo linawiana na hulka yako.#4 Approach yako.
Baada ya kutumia macho yako na kujua kama yuko interested, unachohitajika kufanya ni kuanza approach kwake. Usipanic, ni kitu cha dakika moja. Unaenda hadi pale alipo. Usiingiwe na uoga kama atakukataa ama atakupigia kelele. Kwa akili yako unapaswa kufahamu ya kuwa una asilimia hamsini ya kuweza kumuwini huyu mwanamke bila wasiwasi wowote. [Soma: Jinsi ya kuapproach mwanamke]#5 Jifunze kuskiliza.
Swala jingine ambalo unahitajika kujifunza ni kuwa wakati unaongea na mwanamke, lazima ujue kusikiliza. Hii ni muhimu kwa kuwa wanawake hupenda kusikilizwa. Wao hupenda kuona watu wakiwasikiliza. Hii inasaidia kwa kuwa hujenga mazungumzo kuwa marefu. Kutokana na kumsikiliza, utapata maswali kadha wa kadha ambayo utaweza kumuuliza kwayo.#6 Songea na umshike.
Kivyovyote vile lazima umshike huyu mwanamke. Mbinu hii lazima uilete kwa njia ambayo hataigundua kirahisi na pia usionekane fala. Unaweza kumuuliza kuhusiana na bangili aliyoivaa mkononi aliinunua wapi, halafu kwa kumuuliza hivyo unaushika mkono wake huku ukiangalia na kuilisha mikono yako kwake. Mbinu ni nyingi. Tafuta moja nzuri ambayo unaweza ukaitumia. [Soma: Jinsi ya kumgusa mwanamke na asione tatizo]#7 Mwonyeshe kuwa una interest naye.
Hapa ndipo wanaume wengi wanakosea. Wanasahau kuonyesha interest kwa mwanamke wanapokuwa wanaongea. Hapa unachohitajika kufanya ni kumsikiliza, kumuangalia machoni, na wala usimkatize wakati anapokuwa anaongea. Usiangalie simu, tv ama watu wengine wakati mnaongea. Hakikisha unamakinika na yeye#8 Usisahau mizaha.
Kuingisha ucheshi ndani ya mazungumzo ni muhimu kwa kuwa mazungumzo yenu yatakuwa na nakshi ya mvuto. Mizaha yako iwe ile ya kawaida. Usianze ile ya sijui mama yako nk, wewe jaribu ile mizaha ya kawaida tu. [Soma: Jinsi ya kumfanya mwanamke acheke]#9 Chukua namba.
Mazungumzo yenu hayapaswi kuisha na hapo, lazima yaelendee baadae. Hivyo lazima uchukue namba kutoka kwa mwanamke huyu. Ushapu na ujanja wako ndio utakuwezesha wewe kutoka na namba yake ya simu. [Soma: Mbinu tofauti za kumuomba mwanamke namba ya simu]#10 Mtoe deti.
Hii ndio siku ambayo utakuwa unaitarajia. Wanawake wengi wanatamani kutoka deti siku ya Valentine, hivyo ni rahisi kwake kuitikia mwito wako. Muulize iwapo siku hio atakuwa na mipango gani. Kwa kuwa tayari ushamvutia na maneno yako, atakwambia ataispendi nyumbani pekeake. So wewe hapo ndio unaingilia kati na kumwambia mtoke deti pamoja. [Soma: Jinsi ya kumuuliza mwanamke atoke deti na wewe]Well. Huu ndio ujuzi ambao unapaswa kuwa nao iwapo unataka kufanikiwa kila wakati unapoaproach mwanamke. Mafanikio kwako!












Ningependa kumpendekeza mmoja wa wazimu wanaoheshimika zaidi wa wakati wetu. Ni mtu ambaye amewasaidia watu wengi jijini wakati wa hali ngumu.
ReplyDeleteBaadhi ya watu hata humwita "mungu mdogo" kwa sababu ya uwezo wake mkubwa wa kiroho na jinsi anavyowasaidia wale wanaomjia kwa ajili ya mwongozo.
Unaweza kumtumia ujumbe kwenye WhatsApp: +2349046229159
Barua pepe [email protected]
Tafadhali zungumza naye kwa heshima na ueleze hali yako wazi, naye atajitahidi kukusaidia.
Anatoa mwongozo wa kiroho na usaidizi kwa hali tofauti, ikiwa ni pamoja na:
• Masuala ya mapenzi na uhusiano, ikiwa ni pamoja na kusaidia kuungana tena na mpenzi wa zamani.
• Kurejesha ndoa na mahusiano yenye matatizo.
• Maombi na mila za kiroho kwa ajili ya ulinzi na mafanikio.
• Tiba za mitishamba za kuponya VVU, saratani, malengelenge.
• Maombi ya uzazi na usaidizi wa kiroho kwa wanandoa wanaotaka kupata mimba katika wiki chache.
• Uwezo wa Telekinesis. Uwezo wa kubadilisha umbo.
• Tambiko na maombi ya utajiri wa papo hapo.
• Msaada wa kiroho katika hali ngumu kama vile kesi za mahakamani, kurejesha mali iliyopotea, na changamoto zingine za maisha.
Watu wengi wamepokea msaada na mwongozo kupitia kazi yake ya kiroho.
Sikuwahi kuamini kitu kama hiki kingeweza kunitokea hadi ndoa yangu ilipokaribia kuisha kabisa.
ReplyDeleteMume wangu alibadilika ghafla. Mwanaume ambaye hapo awali alinipenda na kunijali akawa baridi, asiyejali, na mwenye hasira bila sababu. Aliacha kuonyesha nia katika ndoa yetu, akaniepuka kabisa, na hatimaye akaniomba talaka. Nilivunjika moyo kwa sababu nilimpenda mume wangu kwa moyo wangu wote.
Mambo yalizidi kuwa mabaya aliponizuia kila mahali — WhatsApp, Facebook, Instagram — kana kwamba sijawahi kuwepo. Nililia kila usiku nikijiuliza nilifanya nini kibaya.
Siku moja, rafiki wa karibu alinitembelea na kunitambulisha kwa mtu wa kiroho anayeitwa Dkt. Dawn. Kwa kweli, mwanzoni nilikuwa na shaka, lakini niliamua kumweleza kila kitu kwa sababu sikuwa na chochote cha kupoteza.
Dkt. Dawn alinisomea mambo ya kiroho, na nilishtuka. Alifichua siri kuhusu ndoa yangu na maisha yangu binafsi ambayo hakuna mtu aliyejua. Kila kitu alichosema kilikuwa sahihi 100%. Kisha akafichua kwamba mwanamke mwingine alikuwa amemloga mume wangu. Mwanamke huyu alikuwa akimtembelea mara nyingi, na kwa upumbavu niliamini ilikuwa kuhusu kazi tu.
Dkt. Dawn alinisaidia kuvunja uchawi na kufanya ibada yenye nguvu ya kurejesha upendo kwa ndoa yangu.
Kwa mshangao wangu mkubwa, muda mfupi tu baadaye, mume wangu alinifungulia kizuizi mwenyewe na kuanza kunipigia simu na kunitumia ujumbe mwingi, akiniomba nimsamehe na nirudi nyumbani. Mwanzoni nilimpuuza kwa sababu ya maumivu aliyonisababishia, lakini hatimaye alirudi nyumbani akiwa na zawadi na machozi machoni mwake akiomba nafasi nyingine.
Leo, ndoa yetu ni imara zaidi, yenye furaha zaidi, na yenye amani zaidi kuliko hapo awali. Mapenzi kati yetu yanahisi upya kabisa.
Kana kwamba hiyo haitoshi, Dkt. Dawn baadaye alinisaidia na ibada ya ujauzito kwa sababu tulikuwa tumejitahidi kwa miaka mingi kupata watoto. Ndani ya wiki 8, nilipata mimba kiasili, na leo tumebarikiwa na wavulana wawili wazuri wenye afya njema.
Nitaendelea kushukuru milele.
Ukihitaji: Uchawi wa mapenzi ili kuungana tena na mpenzi wako wa zamani
. Usaidizi wa kurejesha ndoa
. Tamaduni za ujauzito ili kupata mimba
. Usaidizi wa kiroho kwa kesi za mahakamani au kupona urithi
. Mwongozo na ulinzi wa kiroho
. kutokuwa na uhakika wa ubaba au ubaba usio na sifa
Ninapendekeza sana Dkt. Dawn. Ushuhuda wangu ni wa kweli, na furaha yangu leo ni uthibitisho. WhatsApp yake: +2349046229159
[email protected]