Download App Yetu Mpya Ya Nesi Mapenzi Chat

Habari yako msomaji wetu wa Nesi Mapenzi. Leo tumekuja na app mpya ambayo inajulikana kama Nesi Mapenzi Chat. App hii inapatikana PlayStore kwa kufuata hii link>>>https://play.google.com/store/apps/details?id=com.nesimapenzi.chat

App hii ni muhimu kwa kuwa utaweza kuwasiliana na mashabiki wengine wa Nesi Mapenzi. Pia utakuwa na uwezo wa kuzungumza na admin na kumuuliza maswali. Pia app hii unaweza ukapata nafasi ya kupata rafiki.

Tungependa kila mmoja adownload app hii kutoka Playstore sababu kama kuna jambo jipya kutoka kwetu tutakutumia kupitia Push Notification direct kwa simu yako.


Features ya app yenyewe ni kama zifuatazo:

1. Ina chatrooms tofauti tofauti za kujiunga.
2. Unaweza kubadilisha rangi ya jumbe zako.
3. Unaweza kuwa na private chat na yeyote.
4. Unachat in real time, yaani jumbe zinamfikia mhusika papo kwa hapo.
5. Uwezo wa kutumia sound notification.
6. Matumizi ya stickers na emoji.
7. Kuweka avatar
8. Na mengine mengi.


Download app yetu ili tujenge jamii moja.

 Nesi Mapenzi Chat


Download App Yetu Mpya Ya Nesi Mapenzi Chat Download App Yetu Mpya Ya Nesi Mapenzi Chat Reviewed by Admin on 8/14/2019 Rating: 5

No comments:

Jiunge na jamii yetu ya Facebook/App yetu ili uweze kutangamana na members na readers wetu wa Nesi Mapenzi ama ujitafutie mpenzi HAPA

Powered by Blogger.