LIKIZO NDIO HII, UMEIPANGIA NINI!?

Likizo ndio hii!!! Bado uko single!? Bado unangojea jibu kutoka kwake!? Hujui utamwambia nini? Well, likizo haikungojei...kila siku inazidi kuyoyoma utajikuta umerudi kulee ambako umetoka, bila demu wala nini.

So sisi hapa Nesi Mapenzi lengo letu ni kukuhami na zana zote za kumbemba, kumliwaza, kumsuka, kumtongoza, na kumshawishi mwanamke!! Huamini!!?

★ Ukitaka kujua mbinu zote za kumuomba mwanamke namba yake ya simu, ingia HAPA

★ Una wasiwasi unashuku kuwa mwanamke umpendaye anaweza kunyakuliwa na wengine? Ama unataka kuwa na upeo tofauti wa kumuapproach mwanamke? Zijue sanaa zote HAPA

★ Na je wajua chochote kuhusiana na mapenzi na mwanamke? Kama una wasiwasi ingia HAPA

★ Wale wanaotaka kuwa na uwezo wa juu zaidi kuliko mwanaume wa kawaida katika maswala ya kutongoza, ingia kwa maktaba yetu hapa HAPA

★ Wale ambao wanataka usaidizi kutoka kwa wajanja tuliowakuza humu humu ingia facebook uungane nao moja kwa moja HAPA

★ Kila ishu tumeizungumzia hapa Nesi Mapenzi, gonga 'Search' utafute chochote kwa blog yetu ama andika neno lolote kwa google then maliza na neno nesi mapenzi ili upate ujanja unaitaka. Mfano 'mbinu ya viini macho nesi mapenzi'.

Uwezo uko nao.  Hakuna kitu kitakushinda ukiwa nasi. Tumejeuza wengi kutoka wanaume woga hadi kuwa wanaume alpha. Kinachohitajika ni kujiamini tu...au sivyo? Bigsup! Hii likizo isiishe kabla hujafanikiwa unachotafuta.

#MafanikioKwako
LIKIZO NDIO HII, UMEIPANGIA NINI!? LIKIZO NDIO HII, UMEIPANGIA NINI!? Reviewed by Ibrahim Morowa on 6:23 PM Rating: 5
Powered by Blogger.